Search results

  1. H

    Je, ni mfuko gani wa UTT AMIS uko vizuri zaidi?

    Bond Fund unawekeza kwenye hati fungani za serikali kwa kiwango Cha 90% au zaidi rasilimali za mfuko na 10% au chini ya 10% mfuko unawekeza katika rasilimali zenye ukwasi kama vile Treasury bills, hatifungani za makampunu na aina nyingine kwa kiwango kisichosidi 5% ya rasilimali za mfuko. Bond...
  2. H

    Je, ni mfuko gani wa UTT AMIS uko vizuri zaidi?

    Hapo unatengeneza faida kwa compound interest mfano: Liquid fund interest ni 12% hadi 14% tuchukue wanatoa 12% 1st year= 12/100×32,000,000/= unapata 3,840,000/=ongezeko Kwa mwaka ambao unajumlosha na mtaji wako wa 32,000,000 unapata 35,840,000/= 2nd year= 12/100×35,840,000= unapata 4,300,800 hii...
  3. H

    Je, ni mfuko gani wa UTT AMIS uko vizuri zaidi?

    Hapo inategemea umekopa kwa % ngapi na mkopo wenyewe ni workers salary loans au unapeleka marejesho. Wataalamu wanasema sio vema kukopa ili kufanya uwekezaji huu lakini inawezekana pia. Unaweza kuweka principle kwamba kila fedha unayoipata kiasi fulani unawekeza.Mambo ya msingi vipande vya UTT...
  4. H

    Je, ni mfuko gani wa UTT AMIS uko vizuri zaidi?

    Hisa unaweza kununua na kuuza muda wowote soko likiwa wazi. Kikubwa ni kuwekeza kwenye elimu ya uwekezaji kwanza. Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
  5. H

    Je, ni mfuko gani wa UTT AMIS uko vizuri zaidi?

    Mfuko wa liquid hauna tofauti kubwa na mfuko wa bond ambao sera yake ni kutoa gawio. Benchmark ya mfuko wa liquid ni kuwekeza kwenye treasure bills za siku 35 hivyo haunathiriwi sana na soko la hisa kama Umoja fund. Kwa mwaka jana riba ilikuwa 14% ingawa kwa kawaida range ni 12% Hadi 14%...
  6. H

    Je, ni mfuko gani wa UTT AMIS uko vizuri zaidi?

    Ni hivi, unaweza kupakua app ya hisa kiganjani DSE then unafungua account. Soko linafunguliwa saa nne asubui kuanzia saa nne na nusu unaweza kuanzia kununua minimum ni hisa 10. Malipo ni vema ulipie kupitia wakala wa benki, bank, au kwa njia ya simu ingawa wanakata salio. Hisa zinapatikana muda...
  7. H

    Je, ni mfuko gani wa UTT AMIS uko vizuri zaidi?

    Fanya mkuu, nunua gvt bond na pia weka liquid fund au bond fund. kwa sasa percent za gvt bonds za miaka 20 na 25 hazitofautiani na percent za liquid fund na bond fund.Brokers wanashauri kuwekeza UTT Liquid fund na bond fund . Hii mifuko more than 90% zinawekeza kwenye hati fungani 10% wanawekeza...
  8. H

    Je, ni mfuko gani wa UTT AMIS uko vizuri zaidi?

    Nunua hisa CRDB na NMB pia, NMB kunajambo jema naona kama linakuja Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
  9. H

    Tanzania itapata faida gani kama TAZARA itajengwa kwa kiwango cha SGR?

    Ni understand utilized Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
  10. H

    Kuna mtu amekutana na issue yoyote ya malipo huko UTT?

    Intelligent investors wengi wamewekeza kwenye bonds na mutual funds. Mutual funds kuna compound interest na vipande vinakuwa thamani. Passive income ndio mpango mzima kwa sasa Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
  11. H

    Ama tuwe na Wizara ya Uchumi au NW wa Fedha anayeshughulilia Uchumi. Mtaani hali ni tete

    Mimi sielewi sisi watanzania tunahitaji nini, always negativity! negativity! negativity! bank zikipata faida wengine tunashukuru Mungu maana tumewekeza huko hata kama ni kidogo Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
  12. H

    Ama tuwe na Wizara ya Uchumi au NW wa Fedha anayeshughulilia Uchumi. Mtaani hali ni tete

    Umeeleza vema kabisa Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
  13. H

    Kuna mtu amekutana na issue yoyote ya malipo huko UTT?

    Ni vema kuwekeza kwenye elimu kwanza ili uelewe baada ya hapo ufanye maamuzi Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
  14. H

    Kuna mtu amekutana na issue yoyote ya malipo huko UTT?

    Huo ni uwekezaji kwa maana kwamba unapata passive income na kuna compound interest.Tofautisha business na investment Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
  15. H

    Kuna mtu amekutana na issue yoyote ya malipo huko UTT?

    Mkuu anamarket product yake kivipi? mbona mambo ya UTT yapo wazi kabisa na ni mfuko unaosimamiwa na selikari. Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
  16. H

    Ama tuwe na Wizara ya Uchumi au NW wa Fedha anayeshughulilia Uchumi. Mtaani hali ni tete

    Mkuu wenye akili wanaendelea kuwekeza kwenye hisa za mabenki yaliyofanya vizuri. Hii nchi Kila mmoja apambane na hali yake Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
  17. H

    Rais Samia afanya mabadiliko Wakuu wa Mikoa. Ally Hapi, Kigaigai, Kafulila na Eng. Robert Gabriel watemwa

    Mateo yupo wapi? Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
  18. H

    Vijana wa Kitanzania tutajiajiri vipi au kutengeneza uchumi binafsi ili kuondokana na kuwa tegemezi?

    Ok, kwa Upande wa hisa kwa sasa hata moja unaweza kununua mfano hisa Moja CRDB ina range sh 380-390. Mfuko wa Umoja UTT unaweza kuanzia uwekezaji kwa sh. 10,000/= Hivyo kijana akiamua anaweza kabisa Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
  19. H

    Vijana wa Kitanzania tutajiajiri vipi au kutengeneza uchumi binafsi ili kuondokana na kuwa tegemezi?

    Nashauri vijana waanze uwekezaji kwenye masoko ya mitaji. Uwekezaji kwenye masoko ya hisa hasa kwa zile kampuni zinazofanya vizuri ndio msingi ambao unaweza kutengeneza uchumi imara kwa vijana. Kuwekeza kwenye mifuko ya pamoja kama UTT naona ndio suluhisho bora kwa vijana ukizingatia unaweza...
  20. H

    Bodaboda Dodoma walalamika kupateliwa mafuta kikao cha RC Mtaka

    Mtoa mada tafadhari usimuhusishe huyo mkuu wa mkoa kwenye jambo hilo, sidhani kama anaweza kufanya jambo kama Hilo. Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom