Search results

  1. N

    John Pombe, Rais pekee atakayeifanya Tanzania kuongoza kiuchumi katika ukanda wa Afrika Mashariki

    Kwa mfumo huu uliopo nchini mwetu chini ya ccm hatuwezi kupiga hatua kiuchumi.
  2. N

    John Pombe, Rais pekee atakayeifanya Tanzania kuongoza kiuchumi katika ukanda wa Afrika Mashariki

    Ugonjwa unaoisumbua tz isiendelee ni ccm na dawa yake ni kuiondoa madarakani na ukawa kuongoza.
  3. N

    John Pombe, Rais pekee atakayeifanya Tanzania kuongoza kiuchumi katika ukanda wa Afrika Mashariki

    KUONGOZA KIUCHUMI kwa taifa lolote hakuhitaji kiongozi mwanasayansi,kwa mfumo huu wa matumizi ya fedha za walipa kodi Kianasa anasa na kutowekeza kwenye miradi ya maendeleo,afya na elimu, ufisadi uliopitiliza unaofumbiwa macho,kubebana,mikataba mibovu na isiyo na masilahi kwa taifa,sera na...
  4. N

    Dr. Slaa: Nikiwa Rais nitamtia Magufuli ndani kwa kuuza nyumba za Serikali

    Hilo sio nje ya box,unauza nyumba ya serikali iliyoko osterbey kwa TZS 900,000/= kwa mkopo wa miaka 3,kabla hata hajamaliza anaiuza kwa 400,000,000/= na hiyo ni nyumba moja tu,je hio mia na ingekuwa shilingi ngapi? halafu wewe unasema sio issue.huenda na wewe ni sehemu ya wanufaikaji, kama...
  5. N

    Kabla hawajatuletea madaktari, je hali ya maisha Iran ikoje?

    No research no right to speak comrade, Iran iko katika 10 bora ya nchi zinazotoa huduma bora za afya duniani, ina madaktari wa binadamu ktk kila fani wa kutosha ,ina vifaa tiba vya kisasa na hospitali zenye viwango, kwa kweli wako vizuri sana, wametumia vyema pato la mafuta kuendeleza...
  6. N

    Mbunge wa Mpanda Mjini, Said Arfi ajivua uanachama CHADEMA

    Teh teh teh, unanikumbusha ile hadithi ya sungura ya sizitaki mbichi hizi.Hivi frankly speaking nani kajiegemeza kwa mwenzake hapo juu, na kwa nini nyinyi CCM mnawashwa sana na UKAWA?, ni kwa vile amewakaria pabaya?.
  7. N

    Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge yawaadhibu wabunge 5 wa Upinzani

    Uonevu,ukiukwaji na ukandamizaji wa haki za walio wengi ndiyo dalili ya kwanza ya utawala dhalimu unaojificha kwenye kichaka cha walio wengi.
  8. N

    Kamati Kuu ya CCM kukutana Julai 04, 2015 saa nne asubuhi, Dodoma

    Wameuogopa moto,Kibao kimegeukia zanzibar,tena mzanzibar mkristo.
  9. N

    Bunge laahirishwa ghafla tena, Wabunge 11 wa Upinzani wahojiwa na Kamati ya Maadili

    Wewe na mimi tukiwa aside hatuimpact chochote,kama wenye mamlaka wamevaa miwani ya mbao kuna concensus gani hapo? KWA CCM kuendelea kujiona wana haki zote hawataki si tu kuishirikisha jamii bali hata kuzishirikisha bongo zao.
  10. N

    Nini kinaendelea kati ya spika na John Mnyika?

    kwani ubunge wa ubungo ni wa baba yako? isitoshe 2010 hukupiga kura wewe, hayo maneno yako kawaambie viraza wenzio wasiotafakari.
  11. N

    Piga kura juu ya hili: Je wanachokifanya wabunge wa vyama vya upinzani ni sahihi?

    Tena ni haramu iliyovunda na nashukuru wanainchi nchi nzima wamefurahia kazi inayofanywa na wachache. CCM inaharakisha hii miswada ili wavute pesa za uchaguzi,akili na mawazo yao kwa sasa yapo kwenye kukusanya fedha za uchaguzi tu,wanazani fedha ndizo zitawanusuru wasizame baharini.CCM Jiandaeni...
  12. N

    Piga kura juu ya hili: Je wanachokifanya wabunge wa vyama vya upinzani ni sahihi?

    Ni fisadi au uzao wa fisadi au wafuta viatu vya mafisadi na wavivu wa kufikiri pekee wataona kuwa kinachofanywa na wapambanaji si sahihi.
  13. N

    Piga kura juu ya hili: Je wanachokifanya wabunge wa vyama vya upinzani ni sahihi?

    Wako sahihi asilimia 100, na watanzania watawazawadia kwa kuwarejesha bungeni kwa kishindo october 2015.
  14. N

    Bunge laahirishwa ghafla tena, Wabunge 11 wa Upinzani wahojiwa na Kamati ya Maadili

    Tulipofikia hatuwezi tena kaa pamoja na kutoka na mutual agreement kwa sababu CCM inalitumia bunge vibaya kufanikisha maslahi yake,imesahau kuwa tuliowaweka pale ni sisi wanainchi,kwa jinsi mambo yanavyokwenda ni dhahiri shairi CCM wanaiweka rehani nchi kwa maslahi yao .
  15. N

    Msekwa amvaa Nape

    Wote ni walewale,huyu msekwa imemkera kwa sababu kijana kafichua ukweli, kwa kusema siri ya wanene (baraza la mawaziri). tunaona huku mtaani wanavyogawa madila,10,000/= na kuwadanganya wanainchi kuwa upinzani uchaguzi huu watapata madiwani wa kutosha na si wabunge na Rais.Haya wanayasema kwa...
  16. N

    Tetesi: Kwanini namba za vitambulisho zinachukuliwa baada ya kujiandikisha?

    Jamani tuwaelimishe wasio fahamu kuwa kitambulisho ni mali ya mtu aliyejiandikisha, hakuna mtu wala chama chochote cha siasa chenye haki ya kuchukua kitambulisho cha mpiga kura,.Sheria ya uchaguzi inakataza na yeyote atakayekutwa na voter's ID isiyo yake au anakusanya za watu wengine adhabu yake...
  17. N

    Tetesi: Kwanini namba za vitambulisho zinachukuliwa baada ya kujiandikisha?

    Nakumbuka uchaguzi mdogo wa busanda ccm walinunua shahada kutoka maeneo wasiyokubalika na baada ya kushinda walizimwaga jalalani.
  18. N

    Tetesi: Kwanini namba za vitambulisho zinachukuliwa baada ya kujiandikisha?

    Unalolisema lipo na linafanywa na mabalozi wa nyumba kumi na baadhi ya viongozi wa ccm,nadhani ni mkakati wa ccm kuwahofisha na kuwatisha wanachama wao kwa kuorodhesha namba za kitambulisho ili yafuatayo yafanyike;- 1. Kuwa na idadi ya wanachama wao waliojiandikisha. 2. Kutoa rushwa kirahisi...
  19. N

    Mkutano wa kuhitimisha Ziara ya Katibu Mkuu wa CCM mikoani, A. Kinana jijini Mwanza - June 28, 2015

    Ndio wanagawa fulana,kofia na madila ya akina mama,pia wanatoa mafuta kwa hiace na mabasi yanayofika viwanja vya furahisha.
  20. N

    Kikao cha chama kufanyikia Ikulu! Hii imekaaje!

    Hii ndio tz bwana, hawaheshimu utawala wa sheria wala utawala bora na mambo kama haya hufanywa kwenye nchi hizi maskini kwa maana mawazo ya watawala nayo yapo kimasikini masikini tu,bora liende. Huwezi ona wala sikia Obama akiitisha kikao na Demokrats white house, wala Cameroun akiitisha kikao...
Back
Top Bottom