kwa hiyo wewe unasema je labla maana pumzi ikishaachana na mwili, huo mwil hata umtupie mbwa km alikuwa mtu wa mungu haitabadili chochote, kwani mwil ni km kasha tuu halina uhai tena, yaan hata ukizikwa na papa haibadili chochote,
urejeshewe za nni, nan anajua hiyo bill yako km ulichangiwa, bima, au unaenda kujitibi ubelgiji kwa ridhaa yako mwenywewe alafu ulete bil ilopwa na nani??
Wewe ndio ujui chochote, wewe unafikiri hizo asilimia 8% ambao ni ongezeko zimetoka mbinguni. Ni makadirio ya makusanya yalikuwa chini kuliko uhalisia au kuna chanzo ambacho hawakukiweka au walia under estatemate (didnot account for). wewe usione watanzania ni wapumbavu sana, yaani upate...
Wanajiwekea budget ndogo ukilinganisha na vyanzo vyao vya mapato alafu unasema wavunja record, ni sawa wewe ujiwekee mauzo ya duka lako kwa siku ni 20. Lafu duka lenyewe ualisia mauzo ni elfu hamsini kwa siku , ukipata elfu hamsini unajisemea umevunja records wakati huo ndio ualisia
Political situational for an individual or party or country as whole is unpredictable especially for Tanzania, you can not conclude that, they will be in bad situation politicaly just b'cause the chadema party will not be sponsor them, they may be in better situation even that party itself as it...
Aise wewe unaakili sana, hiyo ni kweli, mwaka huu hamna chakula kabisa mahindi sasa hivi gunia la kilo mia ni laki moja, juzi kati kuna rearch imefanyika kupitia ofice ya waziri mkuu kujua nini kinafanya vyakula kupanda bei kwa ghafla wakati maeneo meingine wanavuna ikiwemo mahindi, maharage na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.