Search results

  1. CARLOS MAJURA

    Spika Ndugai alisema anakerwa na watu kuitwa Profesa, lakini yeye na wenzake wanataka kuitwa waheshimiwa!

    Huyu jamaa hakumaliza kipindi chake hospital au hii case mpya?
  2. CARLOS MAJURA

    Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

    Huyu Mayala ni mtu makini na aliwahi kumuuliza Mkuu swali gumu had I mkuu akapata kwikwi, Mimi nadhani aliombwa sampuli ya mkojo.
  3. CARLOS MAJURA

    Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

    kuna maswali yanahiaji majibu imara hasahasa juu ya hizi teuzi za sasa. Tundu Lissu alitoa mifano yenye uhai kwa nini Paschal Mayala unakuja na hoja nyepesi?
  4. CARLOS MAJURA

    Madiwani waliojiuzulu Arumeru waajiriwa halmashauri

    Mkuu, huyo mmoja alyeajiriwa kaajiriwa ili kutimiza matakwa ya mkataba wa kujiuzuru, kwa kuwa Hilo ni sharti alilotowa wakati anakubali ushawishi wa Dallas.
  5. CARLOS MAJURA

    Kukamatwa kwa Dkt. Mashinji na Viongozi wengine wa CHADEMA: Maoni ya Dkt. Slaa

    Mkuu, Nafikiri bao unaendelea kumjadili slaa badala ya kujadili hoja yake, jambo ambalo mimi naona sio sahihi.
  6. CARLOS MAJURA

    Kukamatwa kwa Dkt. Mashinji na Viongozi wengine wa CHADEMA: Maoni ya Dkt. Slaa

    Nimesoma uzi huu mara kadhaa na nimeelewa kwamba: 1. Dk Slaa anakiri kuwa serikali inahujumu vyama va upinzani kwa kujiiha nyuma ya sheria ya jeshi la polisi. 2. Dk Slaa anakubali kwamba sheria hiyo ni ya kikoloni, na ni mbaya sana hivyo ikitekelezwa sawasawahasa vifungu vya 43 na 44 inatoa...
  7. CARLOS MAJURA

    Abiria zaidi ya 100 wamekwama katikati ya maji ziwa victoria

    WAMEKWAMA WAKITOKEA WAPI KWENDA WAPI?
  8. CARLOS MAJURA

    Tundu Lissu atishiwa Kifo

    kabla hajamaliza kazi, aliyemleta duniani hataruhusu auliwe.
  9. CARLOS MAJURA

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam azindua barabara ya Shimo la udongo

    Bahati mbaya kwa wapenda haki suala hili limegezwa mchezo wa siasa nyepesi. Tuhuma hizi ni za ki jinai hivi kwa nini yule mtu aliemshitaki Lissu na Wachapishaji wa gazeti la Mawio hajaona haja ya kufungua uchunguzi wa kipolisi au mashitaka mahakamani? tuache mzaha tutende haki,
  10. CARLOS MAJURA

    Zitto Kabwe: Siku hizi Rais anateua watu halafu baadae ndio anakagua vyeti? Vetting imekufa?

    Ukimpa kazi mtu asiyeweza kazi, akishindwa kuifanya kazi usimlaumu.
  11. CARLOS MAJURA

    Hatma ya Muungano: Wazanzibari wadai kura ya Maoni

    EU=EUROPEAN UNION, EAC =EAST AFRICA COMMUNITY.
  12. CARLOS MAJURA

    Ni wazi Mashinji kapwaya kila kona

    Angalau umesema na moyo wako umetulia kama yule naibu spika wa ubunge wa kupendwa na Rais. Lakini, kwa heading yako no kama unafanya comparison baina ya Mashinji na yule nahodha aliyeogopa mawimbi akajitosa baharini, sasa kama hivyo ndivyo ili kuthibitisha hosia zako njoo na maelezo...
  13. CARLOS MAJURA

    Waziri wa viwanda: Bei ya sukari isizidi sh 2500

    Mkuu, yaani sio tena1,800/= wala 2,200/=, ama hakika mwaka huu .tumepatwa.
  14. CARLOS MAJURA

    Mahojiano ya Polisi dhidi ya Zitto, CHADEMA kushambuliwa ni uthibitisho wa Udikteta. Tusikubali

    Mkuu, Kilicho watenga Ben na Zitto ni maslahi ya chama na LEO kinachowaunganisha ni masilahi ya Taifa.
  15. CARLOS MAJURA

    Kauli za WanaCCM "Hatutaki Vilaza Vyuo Vikuu" zawatokea puani leo

    Bahati mbaya hao wanaotakiwa kusikia wana masikio ya bomba, kila kinachoingilia sikio la kushoto kinatokea sikio la kushoto.
  16. CARLOS MAJURA

    Msaada wa kuipata Katiba ya CHADEMA

    Mkuu Nina hard copy na nipo mza kama Uko karibu nitafute inbox
  17. CARLOS MAJURA

    Yupo wapi kada maarufu wa CCM Nicodemus Banduka

    ... Peter Kisummo, Ngombale Mwiru, Nicodemus Banduka, Lawi Sijaona, Daud Mwakawago, Rajab Kheri, Thabit Kombo Jecha........
  18. CARLOS MAJURA

    Lugumi yazidi kunoga,hakutaachwa jiwe juu ya jiwe lingine

    Aah zile ni maalum kwa ajili ya akina Ngosha ka zimemzidi hiyp no ajli tu wala sip losa! Wamemupnea bure
Back
Top Bottom