Search results

  1. M

    Chonde chonde Rais Samia, Kipengele cha Dini kwenye sensa ni muhimu sana kwa sababu hii

    Hoja yako kama ulisoma History vizuri hukua na haja ya kuuliza haya kwenye sensa karne hii. Na swala la udini kwenye sensa hapana
  2. M

    Yanayoendelea Ngorongoro yasipodhibitiwa yaweza kuzua maafa

    Nyie ndio huwa mnakuja na story za kijiweni nenda ujifunze tamaduni za wamasai vizuri kuishi na wanyama pori miaka na miaka kama huwa wanakula nyama pori. Ndio uje utoe comment
  3. M

    Zitto awajibu Maria na Mshaba akiwahusisha na 'Udini'

    Hapo ndio ujue kaanza kutumia utumbo kufikiria.
  4. M

    Rais Samia amegeuza upepo wa MSD kwa kumteua Mavere Tukai

    Huu ndio ukweli halisi aisee
  5. M

    Nobel Prize inamnyemelea Rais Samia

    Unafikri hizo tuzo ni za kuamka tu nakupewa. Angalia waliwahi kupata wanasifa zipi katika mataifa yao kwanza
  6. M

    Balozi wa Tanzania nchini Malawi ataacha lini utoto?

    Hii ndio unaona ni tatizo na ukaijengea na mada kabisa. Nikajua jamaa kaharibu kwenye protocal za kibalozi kumbe ni maisha ya mtu binafsi. Leta zile mada za kuruka na ungo ndio nzuri
  7. M

    Kuelekea Mei Mosi 2022. Yanayotarajiwa, yatakayojiri. Je, Rais Samia atatimiza alichoahidi mwaka 2021?

    Well said hapo kwenye vyama vya wafanyakazi ni wizi tu mtupu na hawana tija kwa mfakanyakazi
  8. M

    Hapa Makongoro Nyerere kaamua kusema ukweli mbele ya Rais bila kupepesa macho

    Umeelewa alicho ongea Makongoro au unakimbilia kutafsiri ulevi. Angalia content ya mada yake ndio uelekee kwenye ulevi
  9. M

    Wabunge waikataa ripoti ya Tume ya Mto Mara. Wataka iundwe tume huru

    Kwa akili yako ya kuweza kusoma na kuandika unaona hiyo report iko sawa kwa hiyo tuamini
  10. M

    Serikali itolee ufafanuzi Mwanajeshi wetu wa JWTZ aliyeuawa huko vitani UKRAINE

    Hata kama ni kutengeneza mtaani unajua athari zake katika diplomasia kama Urusi wakiamua ku react juu ya hilo
  11. M

    Bunge: Wafanyakazi hewa wamerudi, mamilioni yalipwa

    Ona sasa,haya ni majibu ya hoja au ni majibu Hisia zako
  12. M

    Saed Kubenea amburuza Paul Makonda Mahakamani, kupanda kizimbani Desemba 3, 2021 kwa makosa ya jinai

    Kwa hiyo wenye akili nyingi katika nchi hufikiria wafadhili na sio namna ya kujikwamua kujitegemea bila wafadhili
  13. M

    Rais Samia, tueleze kwanini ulimtumbua Dkt. Kalemani na kutuletea Makamba!?

    Acha mawazo ya ukabila,simama kwenye hoja
Back
Top Bottom