Search results

  1. T

    IST hiyo hapo mwenye kuhitaji

    Nimeona
  2. T

    IST hiyo hapo mwenye kuhitaji

    Hata mchumbuko haina na haijawahi kugongwa engine ni Vvti capacity ni 1290 bei sawa na bure
  3. T

    IST hiyo hapo mwenye kuhitaji

    Bei mil 11 mwaka 2003 kwa muhitaji maelewano yapo PM kwa mawasiliano zaidi
  4. T

    Gari ist for sale

    Uijui IST wewe tatizo c picha uje uione live kama una pesa nikuwekee picha haitoshi serious buyer ata ni PM
  5. T

    Mwenye rav4 nahitaji

    Gari ipo five doors ya blue namba CGX but bei top top ni 15milioni
  6. T

    Gari ist for sale

    TOYOTA IST ya mwaka 2003 used lenye namba T ###CCY white colour ipo kwenye hali nzuri bei mil 11 maelewano yapo kidogo more info Pm ntakupa namba za mawasiliano incase ukitaka kuliona sorry kwa nyie mtakaoomba picha hapa for serious buyer only
  7. T

    Unataka kuagiza kitu toka UK? Wasiliana na Serengeti Freight

    Nikitaka kununua vitu lyk perfums,handbangs,nguo ambazo havizidi kg35 mnaweza safirisha? Na gharama za kuwalipa nyie ni sh ngapi?
  8. T

    Unataka kuagiza kitu toka UK? Wasiliana na Serengeti Freight

    Nikitaka kununua vitu lyk perfums,handbangs,nguo ambazo havizidi kg35 mnaweza safirisha?
  9. T

    Nunua hizi simu haraka!!!!

    Shenz zenu wote mlio na miwazo michafu hamna mnunuzi anaeongea na miroho yenu michafuuuuu mfyuuuu simu zote nshaunza tena kwa watu wenye nia c wababaishani wenye nia ya kukosoa kweli naamini watu wenye uchungu wa maisha mpo wengi na sehemu pekee ya kumaliza hasira zenu ni humu JF thanx to all...
  10. T

    Nunua hizi simu haraka!!!!

    Sasa wewe sijakuelewa maana ako c ubandike tangazo lako shida yako nini usiwe kama ujui kuandika tangazo mfyuuuuuuuQUOTE=millide;5876440]wadau mi nnazo tena bei nzuri tu ni used bt in good condition, blackberry 9300 bei 150000, blackberry 9700 bei 230000, iphone 3gs bei 260000 nitumie sms au...
  11. T

    Nunua hizi simu haraka!!!!

    Mkuu hata ikisogezwa will u be able to shop online?maana kipato chetu ni hivyo tena tatizo c kusogezewa tatizo dollar?lol karibu kwetu cc wazoefu
  12. T

    Nunua hizi simu haraka!!!!

    No ya simu haijawekwa hapo on purpose coz of lunatics like u utataka kuchezea upige uulize wakati hata cent una mfukoni unavuja jasho la kwapa and for ur info Tz hakuna T mobile hiyo curve na samsung c za hapa na bold nlinunua hapa nauza simu zote coz my time to go imewadia so ntaenda na simu...
  13. T

    Nunua hizi simu haraka!!!!

    Ni SGH-T959 yani hii imeandikwa hivyo samsung galaxy S mkuu
  14. T

    Nunua hizi simu haraka!!!!

    Ni used na kama unahitaji maelewano yapo karibu
  15. T

    Walio itwa kwenye usaili wa Uhamiaji.,

    Soma vizuri tarehe mkuu hii ya mwaka jana watu wanakurusha roho
  16. T

    Walio itwa kwenye usaili wa Uhamiaji.,

    Jamani hii mada ya mwaka jana na alieamua kuirudia ili kycheza na akili za watu ni mpuuzi aisee
  17. T

    Nunua hizi simu haraka!!!!

    Kama wewe ni Kibaka unadhani wote vibaka kwanini ufikirie huko eti zimepigwa mahali sio? Peleka ujinga wako huko kwanza kwanini u comment hata hela ya kununua huna
  18. T

    Wazee wa CHALLENGE @Siganuture Holidays

    Mmmmh kwa ule mshahara wao aiseee hasa wale Brand Ambassadors duh na wale wahindi wajanja mno
  19. T

    Nunua hizi simu haraka!!!!

    Blackberry bold 9700 kwa laki tatu na blackberry curve kwa shilling laki na nusu na samsung galaxy S ya T mobile unlocked shilling laki tatu na nusu
  20. T

    training signature holidays

    Hata mimi aliniuliza kama nimeolewa nkamwambia hapana ila nina mchumba ambaye tunakaribia kufunga kufunga Ndoa akaniambia sawa and yet wamenialika for training na email wamenitumia hapa nasubiria waseme venue ya training
Back
Top Bottom