Search results

  1. 4X4byfar

    Ushauri: Mke wangu ana maneno, akianza kuongea hamalizi

    Haswa mmpe upendo mpaka achanganyikiwe mwenyewe nakujiona mjinga mwenyewe. UBAYA hulipwa kwa JEMA.
  2. 4X4byfar

    Ushauri: Mke wangu ana maneno, akianza kuongea hamalizi

    Sawa lakini huoni hio mbinu ya kumuonesha silaha yao sio silaha kwako ni kama ushindani? Maana yeye kukunyima duduz anakuonyesha ana haki ya kufanya hivyo sasa na wewe ukilipizia tena...huoni tayari ni mashindano tayari. Anyway kila mtu na uelewa wake. Kwa mimi binafsi ukinionyesha mashindano...
  3. 4X4byfar

    Hivi wanawake mnanini?

    Wanafanya hivyo maana wanajua kuna wanaume wapumbavu na malimbukeni ya kushawishika. So hapo wajinga ndio waliwao brother. Ukitembea katika muongozo wa kimungu yote hayo kwako ni bure tuu. Nautaweza epuka vishawishi vyote. Chaguo ni lako. Upo hapo.
  4. 4X4byfar

    Ushauri: Mke wangu ana maneno, akianza kuongea hamalizi

    Nashukuru mtoa point kwa kweli hata mimi ningefanya hivyo hivyo...then baadae au siku nyingine nacheck mood yake ikiwa happy naongea kwa upole na hekima. Dawa ya moto ni maji. Kama ingekuwa moto basi huo moto kwamwe hutozimika. HEKIMA ni jibu la kila jambo.
  5. 4X4byfar

    Ushauri: Mke wangu ana maneno, akianza kuongea hamalizi

    Ha ha ahaaaaaaa Tized, ukinionyesha hivyo naishia kwenye mchepuko tuu tuone nani zaidi. Then baada ya hapo ndoa chali. Unapoamua kufanya wisdom (hekima) fanya na sio kwa mashindano.Iwe kwa mke au mume. Things have to balance!
  6. 4X4byfar

    Mme wangu nampenda sana lakini amepunguza mapenzi na mimi

    Asante sana, yani umu ndani watu wangekuwa nabusala kama zako...nadhani ngoja mamaa aondoke ndio ataelewa bivu na bichi ni ipi. Hao malaya wake wanambabaisha atajuta siku ya siku. Hivi sijui miwanaume ina nini wajamani.
  7. 4X4byfar

    Mme wangu nampenda sana lakini amepunguza mapenzi na mimi

    Umu ndani kila mtu anahuru wakuongea...kama ni jukwaa na -ME na KE pekee basi admin tangaza lasmi. Rainbow inahusika kwa wengi so msilete maswali mengi, nadhani hoja zenu za kimsaada ndio zinahitajika. Asanteni Rainbow
  8. 4X4byfar

    Mme wangu nampenda sana lakini amepunguza mapenzi na mimi

    Asateni kwa mishauri, hope muhusika ataifanyia kazi.
  9. 4X4byfar

    Mme wangu nampenda sana lakini amepunguza mapenzi na mimi

    Mme wangu nampenda sana, namfanyia kila kitu kama mwanamke. Mimi ni mama wa nyumbani. Sina kazi sio kwamba sipendi kufanya ila ni kwasababu sijapata tuu mpaka sasa. Mume kapunguza mapenzi sana kwangu, najihisi hata atakuwa na mwanamke nje. Yani hana mda na mimi, hatutoki out kama mwanzoni...
  10. 4X4byfar

    FB Matangazo group

    Jamani za kwenu wapendwa, Eti ma group ya matangazo ya facebook ambayo yapo juu kwa kutangazia biashara yako ni yepi? Naombeni orodha please. Asanteni.
  11. 4X4byfar

    Usiposikia shauri yako

    Hebu waambie tena mwanamke akiamua mushindane mwisho wasiku mwenye faidi ni yeye mwanamke...Hivi kwa nini wasijiulize hilo swali. Maana mwanamke anaweza kulala na watu zaidi ya kumi kwa siku na analipwa...je wewe mwanaume na mie ulale na kumi uwezo upo! na mfuko unaruhusu? Fikirini kwa kina.
  12. 4X4byfar

    Michepuko sasa basi

    Hivi!!!kwani hio pete imegundishwa ama...hebu tupe matumizi yake then nikupe jibu sahihi!
  13. 4X4byfar

    Jambo la kushangaza: Mke wangu na Dada wa kazi

    Haina haja yakuwaeleza mengi wasioamini...ngoja yawakute utawaona mbio hapa utafikiri ebola imewapata.
  14. 4X4byfar

    Jambo la kushangaza: Mke wangu na Dada wa kazi

    I said it yesterday watu wakanijia juu haya oneni wenyewe kaja mwingine na issue ile ile tena bora na ya kwangu!. Ngojeni yawapate ndo mtajua chai ya rangi ni nyeusi au brown! Too too too sad. Pole sana ndg yangu yani haya mambo yanachanganya kweli. Watu hawatuelewi. Yani hata admin akituangalia...
  15. 4X4byfar

    Michepuko sasa basi

    Hapo bado sana itaendelea tuu michepuko. Ntaiacha office then naenda kushughulika narudi kuipick then naenda home. Waambieni hao matekenelogia wafikiri kwa kina zaidi.:israel:
  16. 4X4byfar

    Kitu gani mpenzi wako kakufundisha ambacho hukutegemea kutoka kwake?

    Amenifundisha true love exists...ila michepuko ndo imenizidia tuu.
  17. 4X4byfar

    Wanawake mnavutiwa na nini?

    Mwanaume usie na mihela kwa karne hii jijue tuu unasaidiwa na wenzako! Lol.
  18. 4X4byfar

    Wanawake mnavutiwa na nini?

    Tunapendelea mihela...bikira apeleke mapadri ingawaje nao wamo pia.
  19. 4X4byfar

    Unapojifanya hujaoa kisha mchepuko akamtafuta mkeo

    Ajitambulishe kama mke mwenzio...kwa misingi gani! atapigwa chini mara moja naweka mambo sawa na wife then natafuta mchepuko mwingine.
  20. 4X4byfar

    Nalia nikimaliza kufanya mapenzi

    Nikawaida tuu hio especially within that age...ni furaha ya mtarimbo!
Back
Top Bottom