Search results

  1. A

    Shairi: Kililiwa Chalegea

    Nawaza na kuwazua, Iwe ndani au nje. Niingie na kutoka, Majivu yasibakie. Iwe hapa au kule, Ama mbali na karibu. Nishinde au nishindwe, Yasibakie majivu. Kwa ngonjera pia tenzi, Majembe pia vijembe. Lugha hii naienzi, Muweza nipiganie. Nalala naweweseka, Nikifika wanarudi. Najenga...
  2. A

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    ni wivu ama kutojua? timu yako 'middle' table.. tulia kijana.. IF IT'S NOT BLUE.. IT WILL BE.:teeth:
  3. A

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Ujinga ni kubishana na ukweli.. CHELSEA FC haitazamwi na fans wa Chelsea tu... Man Utd, Arsenal Fc, Liverpool, na Man city wote hutazama Chelsea... au hujui? lazima mtazame CHELSEA FC mabingwa wenu... :doh:
  4. A

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    :popcorn: baadaye wadau... cc; Ntuzu, Mentor, Belo...
  5. A

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Belo hata nyie mmenunua yule 'babu' kutoka Bayern.. kwa malengo yenu.. sisi mabingwa; tunaboresha tu hapa na pale ili tuutetee ubingwa wetu.. karibuni kwenye LIGI YA MABINGWA..
  6. A

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Naam; hata JUAN MATA amekuwa mchezaji 'bora' kwenye timu yako ya MAN UTD baada ya CHELSEA kumtumia weeee hadi kumchoka. tena tukakuuzia wewe kwa M.37 tehe tehe tehe ndo maisha mkuu; yule unayemwona wewe wa kazi gani? wenzako wanauliza watampata lini.. ama vipi mkuu?
  7. A

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    FALCAO ni bonge la mchezaji; ... kushindwa kung'aa Man Utd haimaanisha si mchezaji bora.. kwa sababu hata kikosi kizima cha man utd msimu ulopita kilicheza 'avarage' sana tu. na si falcao peke yake aliyeshindwa kung'ara; vipi kuhusu huyu ANgel di Maria? Kwa CHELSEA FC; huyu FALCAO atakuwa...
  8. A

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Huenda alikuwa 'dead wood' akiwa Man Utd.. FALCAO afunge goli 10 kwenye ligi zinatosha CHELSEA FC kutetea ubingwa.. Maana hapo Hazard, na Diego watajazia magoli yanahitajika kwa bingwa; usisahau kwamba mabeki wetu ni wafungaji pia.
  9. A

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Ninapomwangalia Falcao; nina imani atarudisha makali yake japo kwa 75% ya vile alivyokuwa Atletico Madrid. Kwa nini nasema hivyo? 1. Anataka kutumia fursa hii kuthibitisha kwamba Man Utd walikosea kutompa mkataba wa kudumu. 2. Style ya kucheza ya Chelsea inaendana na aina ya mpira wa...
  10. A

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Makali ya mchezaji yanategemea mambo kadhaa: 1. Kujiamini kwa mchezaji mwenyewe.. 2. Mfumo wa timu husika. 3. Ushirikiano anaopata kutoka kwa wachezaji wenzake nje na ndani ya uwanja. 4. Imani ya kocha wa mchezaji husika.
  11. A

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    kwa ujio wa FALCAO naona kama mechi nyingi itabidi tucheze 4-3-3 ili kuwapa nafasi FALCAO, DIEGO COSTA NA EDEN HAZARD kucheza kwa pamoja mbele... ila kuna watu watapata shida ya kupata namba..mfano WILLIAN na OSCAR na CUADRADO. ndo maana bado mfumo wa 4-2-3-1 bado ni mzuri zaidi kwa chelsea..
  12. A

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Nimeona ratiba tunaenda America kwa pre-season... na 'the beast' RADAMEL FALCAO atavaa # 9. hii jezi inasumbua sana kwa miaka 10 iliyopita..tehe tehe tehe ngoja tuone kama huyu jamaa ataitendea haki..
  13. A

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    wadau wa chelsea fc mnasemaje kuhusu fununu za Pedro kuja Chelsea Fc?
  14. A

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    sasa nimerudi; ngoja turudi kwenye mpira.. ili jukwaa lichangamke; naomba mkuu Ntuzu utoe mada tujadili jamani.... :A S soccer:
  15. A

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kwa mara nyingine nawashukuru sana kwa sapoti yenu wadau... :pray2:
  16. A

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Agosti 8; Ndani ya nyumba; cc. Ntuzu, Mentor, ..:redfaces:
  17. A

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Agosti 8; Ndani ya nyumba; cc. Ntuzu, Mentor, ..
  18. A

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Ntuzu na wadau wote mlionitakia heri asanteni sana.. Niko imara na muda si mrefu ntarudi jamvini nikiwa ngangari.. asanteni sana wadau wote: cc Mentor, kalou, belinda jackob, RRONDO, na wote wengine asanteni sana.
  19. A

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    vimburukenge viko nafasi ya 3.
  20. A

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    ikiwa ngumu ndo inakuwa tamu kumbuka tulivyofanya Enzi za 2006.. subiri bado siku 74 ligi ianze tena.. usicheze mbali mkuu.. ujao.
Back
Top Bottom