Kuna sababu nyingi za maana kuhamisha makao makuu ya wilaya kutoka kiomboi kwenda misigiri! ni mwenye nia ovu na iramba tu ndiye atakayepinga wazo hili!
Mwigulu ndio chaguo letu sisi, nyie wa mbali mtuache. Nikifananisha mabadiliko ya kiuchumi kwa wakati wa nchemba na hao wengine bado naona mwigulu kawafunika wengine na bado atakuwepo.
Nauliza! wapi huko TZ ambako pameendelea! Kuwa na vigorofa viwili vitatu ndio mnaona maendeleo, wakti hara singida hivyo vigorofa vipo.
Your mind is dead if you discuss these nonesenses!
Umeandika upuuzi tu, nikizunguka huko kote naona tz iko sawa tu na maeneo mengine ni bora hata Iramba.
Hoja yako ni ya kibaguzi tu na haina critical thinking!
Na pengine mnaona wivu tu kwa sababu kuna mtu mnamlenga!
Watwambie pia kama Dr. mwigulu Nchemba alifanya maamuzi peke yake bila ridhaa ya baraza la mawaziri wala bunge kupitisha.
Mwigulu anasimamia kile kilichokubaliwa na wengi ndani ya ccm, baraza la mawaziri na bunge.
Mwigulu ndio nguzo ya uchumi wa Tz kwa sasa. Na kodi lazima tulipe. Sema tu kaskazini ndio wanaendesha hizi siasa za maji taka kwa sababu ya tamaa ya uwaziri
Hoja ya mwigulu haikuwa uelewa huo. Mazingira ya kujifunzia Arusha na moshi ni tofauti na Iramba, na hata wingi wa shule pia, hio haiwezi kuwa sababu eti kwamba wao wana akili. Iramba ina heshima yake nchi hii ukitulia utaelewa tu. Sema tu nyie watu wa kaskazini mnajikweza sana na ndio maana...
Kaskazin imepiga hatua kwa sababu ya wizi na ku-relocate fund ya taifa kwenda kufanya maendeleo huko. Mfano Kaskazin hakuna hata mgodin wa maana ila watu wanachukua pesa za CSR za bulyanhulu mine kwenda kujega chuo Moshi, hapa ndio kaskazini ilifanikiwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.