Search results

  1. M

    Rais Kikwete azindua kituo cha moyo katika hospitali ya taifa ya muhimbili leo...

    Hongera JK. wanaobeza ziara zako nje hawayaoni haya. Juhudi binafsi. Ila mara nyingi kwa watanzania hatujui sustainability kwa hii facility isimamiwe vema na itengewe hela ijiendeshe yenyewe. Itoe huduma kwa bei nafuu ili watu wasiyoweza kwenda Apollo waende hiki kituo kwa kuchangia kiasi.
  2. M

    Ikulu yamgomea Nyalandu uteuzi wa mkurugenzi wa wanyamapori

    Nilivyoelewa ni tofauti na wenzangu. Nyalundu anatekeleza maazimio ya kamati. Nyalandu lazima ateue mtu wa kukaimu hiyo nafasi mpaka Mh. Rais atakapofanya uteuzi kwa utaratibu ulivyo. Kwa hiyo sijaona kosa hapa au wa kulaumiwa labda iwe wapambe wa aliyesimamishwa na waziri. asante
  3. M

    Dr Marina a Njelekela..maliza ''honeymoon''

    Nadhani uliyetuma hii taarifa hujafanya utafiti wa kina, ni majungu tu. Dr njelekela anapokea hao madaktari toka wizarani na hela zao hulipiwa hapa MNH, sasa kama hajaletewa hela alipe na nini? Pia yeye hahusiki moja kwa moja nao kuna wizara ndiyo inapanga nenda hospitali fulani kafanye intern...
  4. M

    Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba?

    Nampa hongera aliyemshauri jk kumuweka Nape maana ni mfano kwa kizazi kijacho. Ninaamini haki hapo haki imeshinda na ufisadi chini. Unastahili na hongera
  5. M

    Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba?

    Mi nadhani Mheshimiwa amemuweka mama meghji Kama mtu wa karibu ambaye hawezi kumdanganya na pia hawezi kumruka au anayedhani anamwamini mi nadhani ni jbo lipo mahali pengi amabapo mabosi wengi huweka watu wa karibu naye. Tusimhukumu kwa hili tumuache maana hata haya mageuzi ni magumu kwa hali ya...
  6. M

    Ghala la silaha Gongo la Mboto lalipuka!

    Wakuu habari za sikuu kuu. Jamani kuna milipuko Kama ya mabomu inalipuka. Mi nipo ukonga. Mpaka sasa kuna miale ya moto. Labda watu husika wangechukua tahadhari Kama ndege zinazotua
  7. M

    Kikwete kuteua wakuu wapya wa mikoa karibuni

    Kwa kweli sijafurahishwa na kitendo cha kuteua mtu ambaye ni REJECT kila mahali. Nitashangaa sana kuona wagombea waliokataliwa majimboni na WANANCHI wanateuliwa tena kwenye hizi nafasi kumi. Haileti picha kwa jamii nzima kuhusu umakini wa kuiongoza hii nchi. Naomba washauri wa mheshimiwa hao...
  8. M

    DR Slaa aeleza sababu ya CHADEMA kususa

    Mwanzo nzuri. Haki haipatikani kirahisi lazima kupambana. Mi nashukuru njia iliyotumika ni nzuri kuliko mngeingia mtaani na kuwashawishi watu kuandamana na kupigana. Pambaneni hata uhuru na haki za nchi nyingi zilipatikana kwa shida sana. Kweli katiba ya nchi inahitaji mabadiliko na hilo liko...
  9. M

    Mgao kuanza!

    Please can someone put Tanesco's strategic plan here? seems alot of excuse to defend the truth, when are we going to have reliable power supply in the country?
  10. M

    Wanafunzi Muhimbili Waandamana

    Hivi kuna vyuo bado wanapikiwa Tanzania? Si wanafunzi wanapewa hela wanajinunuliwa chakula anachotaka? Nadhani ili kuboresha hao wanafunzi wapewa hela halafu wajinunulie wanachotaka. Sio utaratibu nzuri maana lazima lawama zitakuwepo. Poleni sana
  11. M

    In Memoriam: Siku Saba za Maombolezo ya Mzee R. M. Kawawa

    Mwenye maelezo zaidi ya uhakika ofisi/kazi zitaendelea kama kawaida au itakuwaje? Sijaelewa
  12. M

    Eneo alipotema mate mwana-ubalozi limeanza kutengenezwa

    Bwana kati ya mambo ya kuangalia hiyo barabara toka airport kwenda ukonga. Watu wa kupanua hiyo barabara hawaitaji kuvaa miwani kuona adha ya pale. Nadhani ndiyo sehemu mojawapo yenye kero ya foleni dar. Sidhani kuwajaza askari wa barabarani ndiyo suluhisho, wanakazi nyingi na sio kutatua tatizo...
  13. M

    Ripoti ya Jopo la Wataalam wa UN juu silaha Haramu DRC

    Naomba kuuliza utaratibu wa kuzungumza ulitakiwa uwe wa namna gani? naamini serikali ina utaratibu wake. Kuna mtu wa sera anaweza kuweka hapa jamvini utaratibu serikali ilitakiwa kufanya nini baada ya kusikia tu hiyo taarifa? Na kila hatua ni nani responsible? Na nini wa msemaji kila hatua...
  14. M

    Can IPTL save us?

    Good news
  15. M

    Mawaziri wenye PhD Feki hawa hapa!

    Rais siyo wa kulaumiwa kwa sababu hamna anayejua alitumia kigezo cha elimu ya kiwango gani kuchagua hawa wasaidizi wake (Mara nyingi inakuwa kumbukumbu za utendendaji wao na elimu inafuatia). Inawezekana aliyetuhumiwa angebaki na masters yake ukiondoa PHD angeteuliwa bado. Lakini hawa...
  16. M

    Mawaziri wenye PhD Feki hawa hapa!

    Ndiyo maana wamekimbilia kwenye siasa maana huko hamna wa kuhakiki vyeti. Ingekuwa kwenye mashirika/taasisi labda ingekuwa rahisi kuhakiki. Ila kuanzishwa kwa TCU kunaonyesha matunda mazuri. Wakati ujao itakuwa rahisi maana rais akiteua wasaidizi wake itabidi orodha ipelekwe TCU kwa uhakiki. Ila...
  17. M

    Kikwete amtosa Warioba

    Kazi ipo. Hapa mheshimiwa Warioba kama hana maandishi, kweli ataburuzwa mahakamani. Kama uliambiwa kwa mdomo kweli unalo mheshimiwa. Mheshimiwa Makamba ameshakujibu.
  18. M

    Electronic voting

    Huku ambapo hamana umeme vituo vitakuwepo? Hizo machine za electronic vote hazitumii umeme? Naomba tushauri serikali vizuri, tuanze na umeme, elimu ya kompyuta baadae. Hata kama upo watahujumu ukatike tu. Naomba msijaribu! ATM za benki kutumia yeneyewe kazi.
Back
Top Bottom