Dovutwa, Cheyo Na Mrema Ni Wanasiasa Wasiotabirika Kimsimamo, Hawa Ni Viongozi Wa Vyama Vya Siasa Ambao Ni Wakipekee Leo Wapo CCM Kesho Upinzani, Huwezi Kuwatofautisha Na Popo Au Kinyonga, Kwa Yeyote Anayewajua Vizuri Atujuze Tafadhali.
Wakati Wa Uhai Wake Mwl.J.K.Nyerere Katika Vipindi Tofauti Wakati Wa Mikutano Ya Kamati Kuu Ya CCM, Mwalimu Aliyakataa Majina Ya Wagombea Walioomba Kupitishwa Kugombea Uraisi Kwa Tiketi Ya CCM, k.v. Jumanne.J.Malecela, EL, JMK, Na Wengineo, SWALI, Je Mwalimu Alikuwa Na Maono Gani?, Je Alikuwa...
Sababu Zifuatazo Lazima Ziiondoe C C M Madarakani,
1. Kusababisha Uchumi Wa Nchi Kuwa Duni Kwa Zaidi Ya Miaka 53 Tangu Uhuru
2. Kusababisha Bajeti Ya Nchi Kuwa Tegemezi Kwa Zaidi Ya 60% Kwa Miaka 53
3. Kusababisha Deni La Taifa Kuraise
4. Kuuza Raslimali Za Nchi Kwa Kisingizio Cha...
Kumekucha haya haya, Tayari kada huyo ameshatangaza nia ya kuwania kiti cha ubunge kupitia chama tawala CCM mapema, kwani jimbo hilo inaonekana mbunge wa sasa ameshalitelekeza na haonekani tena Rombo eti yuko bize Dar na Dodoma katika vikao vya kamati za bunge, ziara za kamati nje ya nchi na...
Kinana acha kuwalalamikia watendaji na waziri wa afya...kwani waziri huyo ni wa CCM ambaye wewe ni katibu wake..
Hivyo kama wizi umefanyika hakika wewe na CCM yako mnahusika. mnatakiwa kuwajibika
Ni hivi punde nimepishana na wagonjwa wanahitaji matibabu hapo Hospitalini lakini cha kushangaza wameambiwa waende kununua glovus kwanza ili wapewe tiba jiulize mtanzania.
Hospitali hii huwa inapata mgawo wa fedha za ruzuku ya basketi kutoka serikalini zaidi ya tsh. 200,000,000 kila mwaka...
Mwanafunzi wa sekondari huko Wilayani Rombo amefariki Dunia wakati akifuatilia maji ya kuoga katika korongo la mto Ungwasi lililopo jirani na shule hiyo inayomilikiwa na kanisa katoliki dayosisi ya Moshi. Hii pia imesababishwa na uongozi dhaifu kwani shule hii ni ya private na inauwezo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.