Search results

  1. S

    BOT na pesa mpya vipi?

    Mara nyingi tumekuwa wagumu kuelewa somo. Umeambiwa pesa hizi zina ubora zaidi na zina security features ambazo haziwezi kughushiwa kiurahisi lakini hatuelewi. Au mtu akivaa sarawili ya kitambaa kizito ndo anakuwa amevaa nguo yenye ubora. Hizi hela niza kisasa zaidi isipokuwa matumizi yetu ndo...
  2. S

    Je, ni tatizo kupenda ngono?

    Kuna mfalme mmoja alikuwa anaitwa Daudi huko Israel yaani alikuwa na tabia kama yako. Aliamua kumuua Hamnoni askari wake sababu ya ngono. Lazima wewe utakuwa mzinzi kama huyo fisi huchagui mfupa wala nyama, tena ukijitaja jina lako nikagundua ni ndugu yangu basi undugu ungeisha leo.Maana...
  3. S

    Umeme utokanao na Kinyesi cha Binadamu pamoja na chumvi

    Nilisikia jamaa mmoja akiongelea habari za umeme unaotokana na kinyesi cha binadamu. Huyo ndugu alidai kuwa umeme huo huwa una nguvu sana kinachohitajika ni kuongeza material katika source/chanzo chake. Sasa nikaanza kufikiria hii bidhaa ipo kila familia tena inazalishwa kila siku, je haiwezi...
  4. S

    caller tone za Tigo

    Hata mie nilipigiwa simu na prospective employer akaniambia hivi wewe watu wote ni wapenzi wako, kwani tone ilikuwa inaimba ''fall in love'' Hawa jamaa wanaweza kukubadilishia caller tone wanavyotaka. wanaboa kweli
Back
Top Bottom