Umeme utokanao na Kinyesi cha Binadamu pamoja na chumvi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umeme utokanao na Kinyesi cha Binadamu pamoja na chumvi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Stephen, Jul 22, 2011.

 1. S

  Stephen Member

  #1
  Jul 22, 2011
  Joined: Sep 15, 2008
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilisikia jamaa mmoja akiongelea habari za umeme unaotokana na kinyesi cha binadamu. Huyo ndugu alidai kuwa umeme huo huwa una nguvu sana kinachohitajika ni kuongeza material katika source/chanzo chake. Sasa nikaanza kufikiria hii bidhaa ipo kila familia tena inazalishwa kila siku, je haiwezi kujengwa kama dampo hivi halafu kazi ya Tanesco ikawa kunyonya hiyo bidhaa na kuipeleka huko? Wadau mnaonaje hiyo?
   
 2. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,136
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  :typing:
   
Loading...