Search results

  1. Denis Kasekenya

    Kwa wanafunzi wote wa elimu ya juu

    JIPU LA BODI YA MIKOPO LIMEWASHINDA NINYI LAKINI NAWAHAKIKISHIA KUWA SISI WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU TUTALITUMBUA NA KULIKAMUA WENYEWE. na SHITINDI VENANCE Hii bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu inapaswa kubadilishwa jina na kuwa bodi ya pensheni kwa wanafunzi wa elimu ya juu kutokana...
  2. Denis Kasekenya

    Nani atatukomboa ileje 2015-2020????

    Hili ni swali tata kidogo kwa sura ya kisiasa,lakini lina sura ya wepesi katika hali halisi ya jinsi mambo yanavyokwenda katika taifa. >>kuna msemo unasema "YOU CAN FOOL ALL THE PEOPLE SOME OF TIME,AND SOME OF THE PEOPLE ALL THE TIME.BUT YOU CAN'T FOOL ALL THE PEOPLE ALL THE TIME."...
  3. Denis Kasekenya

    Tanzania na upepo wa vyama pinzani

    Mmi ni muumini mkubwa wa vyama pinzani...kwa sababu vinachochea ufanisi,na maendeleo katika serikali yetu. Lakini nimejaribu kufanya tathimini ndogo juu ya vyama pinzani...na upepo unaonesha CHADEMA ndo chama kinachoongoza katika upinzani. Lakini mimi naomba tusaidiane...HIVI IKITOKEA WAFUATAO...
Back
Top Bottom