Search results

  1. Mkimbizi

    Maandamano haya ni ushahidi tosha kuwa 'intelijensia' ya polisi ni ya kisiasa

    Mimi ni mkristo na ninaiamini imani yangu. Bahati nzuri baba yangu wa kufikia ni muislam(RIP) na nina wadogo na kaka waislam. Kiujumla familia yetu ina mchanganyiko wa kiimani lakini ina upendo. Baba yangu wa kufikia alikuwa mcha Mungu na alitusisitiza sana sisi kushika imani. Wakati wa...
  2. Mkimbizi

    Dr. Ndarichako jipange ur next.....

    Kwa Yesu kuna amani tele kijana. Upendo ndio unatawala. Ila hizi siasa za kutanguliza ubaguzi wa DINI zitatufikisha pabaya. Mtakuja na Washia na Sunni, then mtaanza waislam waarabu na wabara,, then dhambi itawatafuna. Embu tuconcentrate kwenye vitu vya maana mfano Oil and Gas! Toa vijana...
  3. Mkimbizi

    Chadema badilikeni!

    Mod usinipe ban kwa tusi kubwa sana nalompa huyu k....a, Kijana!!
  4. Mkimbizi

    Picha; Sitisho la Mikutano ya siasa kwa ajili ya Sensa na yaliyojiri Nyololo na Bububu!!!!

    Usitukane mkuu, utakula BAN nzito sana. Unamjua Invisible? Mimi tangu juzi ilibidi nitukane tu kimoyomoyo, angalau jazba imepungua ndio nimeweza kupost JF.
  5. Mkimbizi

    Picha; Sitisho la Mikutano ya siasa kwa ajili ya Sensa na yaliyojiri Nyololo na Bububu!!!!

    Kila nikitafakari mwananchi unakuwa mwanachama wa CCM nashindwa kukuelewa kabisa!
  6. Mkimbizi

    Hapa CHADEMA mmeingia kichwakichwa, hii inaitwa force king!

    Mmekuwa wengi sana siku hizi humu JF. Tunaona! Ila safi sana endeleeni magamba! Viva CDM
  7. Mkimbizi

    Mtu na nduguye - Inafaa?

    Kama huyo mume wa mtu anaweza kuchat na nduguye hivyo basi kazi ipo! Kicheche
  8. Mkimbizi

    Dogo akaja mikono mitupu!

    Daaaaah!! Ningekimbia
  9. Mkimbizi

    Kwa Akili Yangu ya Wanzuki Nikafumaniwa Mchana Kweupe...!

    Dah hilo ni soo. Pale nywele ziliposisimka kugeuka nyuma,,,, Mimi ningezimia! Hahaha! Aisee kucheat sio dili, ni upuuzi na ni kujitafutia magonjwa, laana!
  10. Mkimbizi

    Mpango wa kuhujumu M4C na CHADEMA huu hapa - chukueni hatua..

    CCM bana! Mnaudhi! Ila kiama kinakuja. Ipo siku tutawatia bakora magerezani kwa upuuzi wenu. Tumeshachoka ngoja tu
  11. Mkimbizi

    Hapa lazima kitanuka tu.............!

    Kama hauna chochote kibaya na mnaaminiana,, wala hatakuwa na muda wa kuangalia simu yako. Tatizo wanaume wengi vicheche
  12. Mkimbizi

    Comments on this picture

    Mbona mtoto ana sura ya ki UTU UZIMA?
  13. Mkimbizi

    What has Halima Mdee done for Kawe (2010-2015)?

    Nilitaka kumwambia maana naishi kunduchi ambalo pia mbunge ni Mdee. Maji/umeme kawe ni vitu ambavyo si tatizo la kuumiza kichwa. Kile kichwa.... Ukitaka kuamini transfoma iharibike halafu tanesco walete longolongo, we mwambie wanamjua. Litabadilishwa siku hiyo hiyo
  14. Mkimbizi

    What has Halima Mdee done for Kawe (2010-2015)?

    Mkuu unaishi Kawe ipi?
  15. Mkimbizi

    What has Halima Mdee done for Kawe (2010-2015)?

    Be the first to tell us
  16. Mkimbizi

    Kesi ya Nestory Hussein Chigawa...pamoja na utetezi wa uwendawazimu akahukumiwa kunyongwa...!

    Mtambuzi, as always. Mungu akuzidishie zaidi kwa kutupa stories zenye kuleta hisia. Najifunza kila siku kutokana na posts zako
  17. Mkimbizi

    Barua ya wazi kwa Rais wa dola ya Zanzibar dr. Ali Muhammed Shein

    Sisi mnaotuita makafiri tuende wapi sasa? Mkishapambana na kututoa makafiri mtaanza kuangaliana Sunni au Shia, then pua ndefu au pana, nywele fupi au za kusokota, mchagga au msukuma. Nashindwa kuelewa kwanini Zanzibar isikubaliwe ijitenge maana wananikera sana na maneno ya kibaguzi. Tokeni
Back
Top Bottom