Search results

  1. M

    Hawatafanikiwa kutuchonganisha na RAIS wetu kwa mbinu ya kumuua Tundu Lissu

    Halafu bado hawa hawa wanalitaja jina la mungu kila wasimamapo.daaaaah.all God anajua
  2. M

    Nimeshangazwa sana na kauli za Mbowe na Anna Mghwira; Ni za kumfagilia njia John Magufuli!

    Baada ya kuhesabu kura.mawakalana wasimami watatangaza na kubandika matokeo kituoni.swali??WANAMTANGAZIA NANI IKIWA PALE NJE HAMNA WATU??WANABANDIKA YA NIN KAMA WATU HAWARUHUSIWI KUYAONA NA KUYASOMA??
  3. M

    Serikali ikiifungia Mawio ya akina Kubenea hata siwezi kuumia, nitachukulia kawaida tu

    Kalifungie UHURU ndio uje kuzungumzia mawio.. Usisahau pia mwanahalisi limerudi
  4. M

    Mzee Lowassa kurejea CCM baada ya Uchaguzi

    Lowasa.. Ndiye Rais ajaye.. Jifariji tu na akili zako ndogo Za kutumiwa. LOWASA hawez kukubal kutumiwa kama njia yakumpa ushindi. Magufuli... Yeye mwenyew anautak urais na watanzania wanaobadilika wamesema Yes
  5. M

    Majimbo 11 Ambayo UKAWA Wasipoteze Fedha Washapita

    Hai.. Unaisahau vipi kwa the man himself
  6. M

    Tuwakatae Maaskofu wa aina ya Gwajima

    Mbona slaa mmemsafirisha?? Mlipieni press conference tena akachokonoe moto.. Hana fadhila, mzee unalindwa unapikiwa, boss unamwita mshenga?????
  7. M

    Yaliyojiri StarTv: Mahojiano Maalum ya Dr. Slaa na Star TV - Tarehe 4 Septemba, 2015

    Ukimjib kichaa unakua kichaa Mara mbili Zaid
  8. M

    CHADEMA msijidanganye, Dr. Slaa hayuko peke yake

    Akimbie chadema ndio akimbilie ccm?? Kama sio unafiki ni nin.. Mimi nampenda hata yeye ndio inspirational factor kwangu.. Ila nimempuuza.. Ni Sawa na kuandaaa pilau la nyama Safi afu ufike wakat wakula ulitie mchanga na mafuta ya taa.. PILAU HALILIKI TENA JUHUD ZOTE ZA AWALI ZINAGEUKA KUWA...
  9. M

    Lowassa must be ashamed of himself. Anna Mghwira kamzidi kutawala jukwaa!

    Unataka Rais mtawala jukwaa kwann uspende kumtafuta huyu mtu kwenye maharusi na kitchen part?? Kabla hujaropoka jitafakari.. Wee need a super leader talking much for nothing is worthless my dear
  10. M

    CHADEMA NA CUF: Bado mnaamini ni bora kuwapoteza Dr. Slaa na Prof. Lipumba na kumkumbatia Lowassa?

    We nae hukat tamaa tu??? Propaganda hizo Za kimbuzi.. Unaona wanafaa sana??? Lipumba anawahitaji
  11. M

    BBC Swahili Tumewachoka!

    Wana ccm Wana ugomvi na facts... Kuna ubaya gani kama lisemwalo lipo??
  12. M

    Sumaye, Unafahamu uliongoza baraza la kifisadi kuliko yeyote?

    Mi Nina akili chache sana.. Nataman kuuona ccm ikiwa dhaifu TUU.. I don't care how
  13. M

    ITV jamani, mmenunuliwa?

    Waraka...???? But same results kifo hakizuiriki
  14. M

    Ufoo Saro, kwanini uteseke na kuumia tu moyoni?

    Unaboreka na ITv??? Kweli.... Hamia TBC ufaidi taarifa nzuri huna sabab yakukosa taarifa zako Za ccm wakat chanel yenu ipo. Welcome
  15. M

    Mazishi ya Mzee Kisumo kijiji cha Ngujin Usangi, Alhamisi Tarehe 13 Agosti, 2015

    Mnajuta kumkata.. Ungekua na akili nzuri ungejua kwann hata wapuuzi wengne hawakutaka hata kumuona msiban... He is too powerful
  16. M

    Hakuna nchi iliyoendelea kwa kubadilisha Chama!

    Kawadanganye kwenu... Uelewa huo Sasa tunao.. Na jibu ni kinyume... Hakuna nchi Tajiri duniani iliyoongozwa na majuha wale wale miaka yote..
  17. M

    Lowasa Ajimaliza, uchu wa madaraka wampeleka CHADEMA,uamuzi wake wapondwa kila kona

    Uhuru?? Hiyo hela umetumia kununua hlo Gazette si bora ungeenda kuichambia Mavi chooni?
Back
Top Bottom