Search results

  1. omarilyas

    Uchaguzi 2020 Kuelekelea Uchaguzi mkuu 2020: Tupe tetesi na maoni yako, unapendekeza nani agombee wapi na nafasi gani?

    Freed Freed, 1. Mkoa wa Arusha. Jimbo la Arusha mjini wagombea kupitia CCM ni Monabana au Philimon Mollel, RC Mrisho Gambo na mfanyabiashara mmoja mwenye asili ya Asia. Wengine wakiongezeka nitawajuza. Jimbo la Arumeru Magharibi ni Stephen Zelote, Daniel Ole Njoolay, Elsa Mollel (Mbunge wa...
  2. omarilyas

    Dr. George Kahangwa kugombea urais kupitia Upinzani

    George Kahangwa.... A class brain but inapokuja kwenye Uongozi na tena uongozi wa nchi huu ni utani usio tija!
  3. omarilyas

    Dr. Shein kumrithi Kikwete

    Jamaa anapinga zamu ya Zanzibar lakini anapigia debe zamu ya Wakristo. Kama ilikuwa sawa kuondokana na mfumo wa zamu za pande za muungano mwaka 2005 haiwezi kuwa dhambi kuondokana na mfumo wa zamu za dini ya mtu. Hivi mbona vyama vingine havijawahi kufuata zamu hizo?... Siasa za maslahi bana!
  4. omarilyas

    Amri ya Mahakama Kuu iliyofanya VIP Engineering kulipwa Fedha zake

    Hivi huu ni wizi wa wahaya? Mbona kila mhaya anaonekana kubariki huu uhuni? Hata huyu naye..... Aghh...
  5. omarilyas

    Samson Mwigamba 'atimuliwa' uongozi ACT-Tanzania, Prof.Kitila, Mchange wapewa karipio kali

    Kama wewe akili yako inaweza kuthubutu kuutambua utafiti wa JF ambako unamiliki IDs zaidi ya kumi then ni kweli taifa lina janga la udumavu wa akili!
  6. omarilyas

    Samson Mwigamba 'atimuliwa' uongozi ACT-Tanzania, Prof.Kitila, Mchange wapewa karipio kali

    U mean nimechangia kumuondoa katika utumwa wa maslahi ya wajanjawajanja mbadala? Possibly Guilty as charged!
  7. omarilyas

    Samson Mwigamba 'atimuliwa' uongozi ACT-Tanzania, Prof.Kitila, Mchange wapewa karipio kali

    Kwa mujibu wa matokeo ya utafiti wa Twaweza ni kwamba mkuyati ya UKAWA haujaweza kuongeza nguvu ze zanu kisiasa! Watanzania walipoamka hawajamka kuona usani wa CCM pekee bali wanatambua usanii wa kila upande... By the way kama msingi wa nguvu za mkuyati wa UKAWA ulikuwa katiba mpya, ni asilimia...
  8. omarilyas

    Samson Mwigamba 'atimuliwa' uongozi ACT-Tanzania, Prof.Kitila, Mchange wapewa karipio kali

    Kwa akili na fikra kama hizi halafu mnashangaa kwanini watanzania bado hawakubali kuwapa imani yao zaidi ya kuwaachia mfaidike na hasira dhidi ya CCM pekee? Watanzania wanatafuta mabadiliko ya dhati sio bora mabadiliko ya "our turn to eat" yanayojionyesha kuja na upepo wa CHADEMA...
  9. omarilyas

    Samson Mwigamba 'atimuliwa' uongozi ACT-Tanzania, Prof.Kitila, Mchange wapewa karipio kali

    Hivi yale madeni ya Mzee Slaa na Josephine ya kununua fenicha na madikodiko ya ki-first family yamesharudishwa?
  10. omarilyas

    Suala la ESCROW Tupunguze Too Much Sensationalism na ku Dramatize, BOT Did The Right Thing!

    Kaka Pasco, Mwanzoni nilidhani haya maandalizi ya 2015 yamekuingiza pabaya. lakini sasa naamini hii kesi huijuwi vizuri. Kajielimishe vizuri kaka...
  11. omarilyas

    Kinana alazwa Dubai, hali yake si nzuri

    Interesting..... Siasa za kasumba zinadumaza sana akili za watanzania!
  12. omarilyas

    Kumekucha: Maalim Seif Hamad Kujiuzulu umakamu wa kwanza wa Rais Zanzibar

    Ajiuzulu ili kuinyima headlines Rasimu ya Bunge la Katiba.... Hizi siasa za mihemuko bana!
  13. omarilyas

    Serikali yagaragazwa mahakamani na Peter Kibatala kesi ya katiba

    Interesting... Kwa hiyo Peter Kibatala ndio unajiita Kilaza? Kwanini sasa hutumii jina lako kwa kujiamini na kuachana na ulaghai mitandaaoni? Au ndio umethibitisha ukilaza?
  14. omarilyas

    Zitto ondoka tulishakupa talaka

    Na huyu naye ni kamanda wa jeshi la ukombozi.... Sasa kama fikra zenyewe ndio kama hizi sijui nani anahitaji ukombozi. Nadhani kwanza angeanza kujikomboa yeye kifikra halafu ndio aweze kuwapigania wengine. Ukombozi unaohubiriwa na fikra dumavu kama hizi ukombozi wa maharamia pekee.
  15. omarilyas

    Jinsi Kampuni ya PAP ilivyoichukua IPTL bure na kujichotea Dola za Marekani 128M kutoka BoT

    Usifanye mchezo na nguvu za USD 40mln..... Sitashangaa kuna watakaokuwa tayari kubomoa nchi kulinda ulaji wao katika hili!
  16. omarilyas

    Uchaguzi mkuu BAWACHA kutoka Mlimani city

    Ipo siku mtajibiwa kisayansi halafu ndipo mtakapotambua nani anaendeshwa na fikra na maslahi ya udini na ukabila...
  17. omarilyas

    CV ya Patrobas mrithi wa John Heche BAVICHA

    Du.... Dogo ameshakuwa Mheshimiwa? Kweli hizi fikra za kihafidhina zinatumaliza!
  18. omarilyas

    CHADEMA imchunguze Mohamed Mtoi

    Tumaini Makene This is interesting..... Yaleyale ya Mnyika na Deus Mallya!
  19. omarilyas

    CHADEMA imchunguze Mohamed Mtoi

    Tumaini Makene This is interesting.... yaleyale ya Mnyika na Deus Mallya!
  20. omarilyas

    Mwenyekiti wa CHADEMA jimbo la Ubungo na wenzake watimkia ACT

    Hii ya Ongara siwezi kuamini hadi nimsikie mwenyewe.... Anyway, hata Mwigamba was once in his league!
Back
Top Bottom