Search results

  1. M

    Waziri wa Kazi: Mishahara/Kima cha chini kwa watumishi wa Umma na Binafsi IMEPANDA NCHINI

    jamani hongera ya nini kwani hicho kiwango kinatosha kwa jinsi maisha yaliyopanda juu?
  2. M

    Waziri wa Kazi: Mishahara/Kima cha chini kwa watumishi wa Umma na Binafsi IMEPANDA NCHINI

    haya ni maandishi tu ndugu tusubiri uhalisia kwenye mishahara isije kuwa siasa kwani ..............?
  3. M

    Mbunge, Naibu Waziri watajwa mauaji ya kamanda Liberatus Barlow! Shuhuda ahifadhiwa kwa IGP Mwema...

    No coment kwa kweli pengine kijana kaamua kutafuta umaarufu ili ajulikane kwani wabongo nao? but tusubiri mizengwe!
  4. M

    Mbunge Lema akamatwa na Polisi!

    mpaka kieleweke kwa mtindo huo magaidi wote waliojificha kwenye siasa kamata tia ndani kabisa
  5. M

    Mbunge Lema akamatwa na Polisi!

    kiukweli it was rong selection watanzania tuache ushabiki kwenye siasa tuchague viongozi makini wenye hoja za msingi sio kam,a mbayuwayu
  6. M

    Mbunge Lema akamatwa na Polisi!

    tatizo si video naongea na evidence sio magazeti wala nini nyinyi wanajamii forum msibaki kutukana tu ila mtoe hoja za msingi ili tuwajibu kwa hoja me mwanaharakati wa kujitegemea sina chema wala nini nipo me kama me
  7. M

    Mbunge Lema akamatwa na Polisi!

    guy watu watoe hoja za msingi msikurupuke tu!
  8. M

    Mbunge Lema akamatwa na Polisi!

    Kiukweli watanzania hatuangalii viongozi makini tatizo tunafuata mkumbo haya sasa mmechagua magaidi na majambazi yaliyokubuhi
  9. M

    Mwigulu Nchemba: CHADEMA itakufa 2015

    upumbavu wenu wa kishabiki ukichanganya na ujinga mnapata majibu yenu kwamba uko wapi nyinyi washabiki tu! walaji wengine huo ndo ukweli, subiri nina waraka wa kikao cha siri kilichofanyika kwa Mtei ndipo utaamini nini ninachomaanisha soon nitaweka hewani kwa utaratibu nyie si akina Thomaso?
  10. M

    Mwigulu Nchemba: CHADEMA itakufa 2015

    aka mkosa chama tatizo la Watz tunashabikia tusilolijua kwani hamjua vita iliyopo cdm? kama hamjui hicho chama cha wachaga mtadanganyika mpaka lini fuatilieni mtaona au ni chama cha mzee Mtei
  11. M

    CCM inafanya kazi kisayansi zaidi kuliko CHADEMA

    Jamaa kaeleweka tatizo viongozi wa kisiasa wanaongea tu maeneo ya mijini na kusahau vijijini kwamba kuna watu M4C wanafahamu walio mjini na wenye uelewa kuhusu mitandao ya kijamii upo hapo thanx
  12. M

    Mabomu yanalipuka Shinyanga mjini

    Kunanini? tena wakubwa natumaini Tz kwa sasa Mmmh?
  13. M

    Mbowe: Sikumtangaza Dr. Slaa mgombea urais 2015

    Serikali nayo ishakuwa ya ajabu kwanini wamwogope Dr Slaa kwani yeye amekuwa nani? Slaa ni harage katika chungu cha maharage haina haja ya kumwogopa. Mpelekeni mahakamani huyo hana lolote huyoooo! Halafu ndo kiongozi anategemewa Mfisadi mkubwa!
  14. M

    Mbowe: Sikumtangaza Dr. Slaa mgombea urais 2015

    msianza kuuliza kwamba chama gani ishu ni kwamba anachokiongea kinaukweli au vip? ukweli ni kwamba viongozi wa ngazi ya juu wamebaki kuropoka tu kwani naona kwamba wamekosa dira. Hata mie nina waraka wa siri wa chama cha Chadema wa kikao cha siri kilichofanyika kwa mwasisi wa chama Bw Mtei...
Back
Top Bottom