Search results

  1. S

    Wamarekani na Watanzania

    MWALIMU J.K.Nyerere alishatuasa kuwa ni vyema kukaa mbali sana na Mmarekani. Katika miaka ya hivi karibuni tumeona juhudi kubwa za kuikurubisha Tanzania kwa Marekani na uongozi ulioko madarakani. Ninachojiuliza ni, je, hofu za Babu sasa hazina msingi? Hata mwanae Benjamin Mkapa naye...
  2. S

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Hapana, Tatizo sio muungano ila viongozi wasioona mbali na m bele. Soma shairi langu hapa chini: Laiti nchi ingeliwa Laiti nchi ingeliwa, nami nisingelala njaa, Iwe ya utamu wa muwa, au ukali wa chang'aa, Nami nisingechelewa, cha kwangu kujimegea, Nisingelilala njaa, laiti nchi...
Back
Top Bottom