Search results

  1. Eeka Mangi

    TANZIA: Mwanachama mwenzetu, PakaJimmy amefiwa na mwanae ajali ya basi Arusha

    PJ rafiki yangu pole sana! Jumatatu wakati tunaaga wapendwa wetu pale Uwanjani sikujua mwanangu ni mmoja wa waliolala pale! Dah Pole sana ndugu yangu.
  2. Eeka Mangi

    CHADEMA Kutaka Mazungumzo Wakati Kumekucha Ni Dharau Kwa Serikali. Watazungumza Hukohuko Barabarani

    Kwani wewe CHADEMA si wacha watu wafanye yao! We unamwona Mbowe, Lowassa na Lisu tu! Mnafikiri mnaweza kuachwa muiendeshe hii Nchi kihuni tu! Tulia uone moto wake! Jasho linawatoka mpaka kwenye meno! Hao Polisi wako wangapi Tanzania hii?
  3. Eeka Mangi

    Kwanini CHADEMA hawaadhimishi siku ya kuzaliwa kwake?

    Kuzaliwa maanake nini? We ungeuliza CDM kilianzishwa lini! Hanjui wanaozaaa?
  4. Eeka Mangi

    Siasa mbovu za Uenyekiti wa Halmashauri ya Moshi vijijini, Mbunge anahusika

    Msiwe mnajibu hovyo tu hapa! Mama yangu sio mwanasiasa ila nakupa hii! Mama yake John Mrema kwenye kura za maoni alipata kura moja lakini kateuliwa na hakufanya chochote kwenye harakati hizi! Elizabeti Temba alipata kura 2 anahusishwa na tuhuma za mapenzi na mbunge! Ukitaka ntakuambia tena...
  5. Eeka Mangi

    Siasa mbovu za Uenyekiti wa Halmashauri ya Moshi vijijini, Mbunge anahusika

    Wapendwa Salamu, Hatimaye nimerejea baada ya matibabu ya muda mrefu! KCMC na Agakhan Hospital. Nilipata FB kwenye koromeo. Usijesema ni Face Book ni Foreign Body! Loh! Back to issue! Mchakato wa kumpata Mwenyekiti wa Halmashauri ya Moshi unaingia kwenye dosari kubwa baada ya Mbunge Magumashi wa...
  6. Eeka Mangi

    CHADEMA yameguka vipande viwili

    Ha ha haaaa jamaaa bado anamhusudu Dr Slaa. Vipi ulikuwa na mchongo pale magogoni nini? Ushachelewa jamaa yangu. Mpango sasa ni Lowasa tuuuuu
  7. Eeka Mangi

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Roho iniume kwa Domo K**bwa! Nilichomsikitikia ni kuharibu wimbo wake kwa kuimba hovyo! Kama hujui unachokiongea usijibu hovyo ka uko chooni! Maana unaonyesha dalili za unachokifanya Ukiwa na nzi utaimba ka nzi!
  8. Eeka Mangi

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Maskini Mbasha anaogopa kwenda Jela ikabidi ajiendee tu na nguo zake za ubarikio. Jela pabaya!
  9. Eeka Mangi

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Kuna binti alikuwa anasasambua hapo jukwaani. Style ya uchi tuuu labda itamsaidia kwenda mjengoni! Acheni kujidhalilisha
  10. Eeka Mangi

    Joe Nanauka CHADEMA/UKAWA kupita bila kupingwa Mtwara Mjini, Mburushi koko ajaza madudu

    Hapo ndo huwa tunatoa somo sasa. Kwa mujibu wa sheria namba 67(1) yaKatiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, Sifa za Mgombea Ubunge ni zifuatazo:- Awe Raia wa Tanzania Awe na Umri wa miaka 21 au zaidi Awe anajua kusoma na kuandika kwa kiswahili na kiingereza Awe ni Mwanachama na...
  11. Eeka Mangi

    Wananchi Mtama wamkataa Nape, kumbe hakushinda yeye

    Sie tuamwombea Mungu aenguliwe ubunge ili tumnyoshee goti kwenye kampeni! Akipata ridhaa ya kugombea ubunge atajidai alikuwa kwenye kampeni!
  12. Eeka Mangi

    Tumia Viagra Hii Ya Asili

    Sasa kama unajua si wewe! Mbona hukuwashirikisha wenzako! Mijitu mingineee
  13. Eeka Mangi

    Kama Lowassa alitabiriwa na TB Joshua kuwa Rais TZ, Iweje sasa atumie Pesa kukampenia Urais?

    Mtu unakaribishwa badala ya kusema asante unaanza kuhutubia! Anyway ilikuwa ukarimu tuuu!
  14. Eeka Mangi

    Kama Lowassa alitabiriwa na TB Joshua kuwa Rais TZ, Iweje sasa atumie Pesa kukampenia Urais?

    Hujambo bibiye! Karibu Arusha ukapumzike kidogo!
  15. Eeka Mangi

    Hatimaye CCM sikivu inajivua gamba

    Subirini nyie mna kiherehere kama mmefumaniwa!
  16. Eeka Mangi

    Kukatwa kwa baadhi ya wagombea Urais, Rais Kikwete kunawa mikono!

    Nawshukuru kwa kusikiliza ushauri wangu! Inauma sana utumie hela nyingi kiasi kile ukatwe na kalamu ya mia 2.
Back
Top Bottom