Search results

  1. A

    Kwa nini web ya ajira (moe.go.tz haifunguki muda huu?)

    Kila nikijaribu kuangalia inagoma au ndio bado ina Load?
  2. A

    walimu sasa wameua nchi.

    Duuuh! Ni hatari sana.
  3. A

    Ajira za ualimu!!!!!

    Nimepata fununu toka kwa baadh ya wakubwa serikalini kuwa zisipotoka tarehe 25 siku ya ijumaa basi ni tarehe 28 jumatatu.
  4. A

    Kwanini ajira za walimu hazitangazwi?

    Nimepata fununu toka kwa baadh ya wakubwa serikalini kuwa zisipotoka tarehe 25 siku ya ijumaa basi ni tarehe 28 jumatatu.
  5. A

    Ajira za Ualimu sasa ni wimbo,zinatoka kesho usiku

    Bwana awe nanyi katika kipindi hiki kigumu machopitia! Kuna usemi nasema Kosa Hela Ujue Kipaji Chako Na Pata Hela Ushangae Tamaa Yako! Sasa katika kipindi hiki msichokuwa na kazi ndo mda wa kujua vipaji vyenu! Ngoja niwape miongozo kadhaa jinsi ya kupata kazi mujini hapa! 1.Recruitment...
  6. A

    Sababu za kuchelewa kwa ajira za Waalimu

  7. A

    ajira za walimu wapya 2013

    Sijajua leo wala jana,nataka niwape ajira KAHAMA MOVIES,wasikae wanapiga kelele tu.
  8. A

    Sababu za kuchelewa kwa ajira za Waalimu

    Ila hazitoki sasa hivi: CLICK HAPA NIKUFUNDISHE HAYA MAMBO UONE JINSI MAISHA YANAVYOTAFUTWA,BILA KUTEGEMEA HIYO AJIRA,NJOO TUIGIZE HIVI
  9. A

    Ajira za Ualimu sasa ni wimbo,zinatoka kesho usiku

    Sijawah kuvaa hereni wewe,hebu kaangalie vizuri,sio kujiropokea mambo usiyo na uhakika nayo.
  10. A

    Ajira za Ualimu sasa ni wimbo,zinatoka kesho usiku

    Nataka niwaajiri KAHAMA MOVIES naona mnahangaikia ajira.
  11. A

    Sababu za kuchelewa kwa ajira za Waalimu

    Necta walishamaliza kazi yao ya kusahihisha na kutoa matokeo,hivyo hawahusiki wameshakabidhisha wizara ya elimu,jipange sio unatoa hoja isiyo na IQ.
  12. A

    Ajira za Ualimu sasa ni wimbo,zinatoka kesho usiku

    Kwa kuwa walisema ni January basi ni kusubiri.
  13. A

    Ajira za Ualimu sasa ni wimbo,zinatoka kesho usiku

    Mimi mbona najishughulisha, ajira ni kama wito tu wakinita nitakwenda,wala siwazii.
  14. A

    Ajira za Ualimu sasa ni wimbo,zinatoka kesho usiku

    Acha matusi wewe,bado akili haijakuwa.
  15. A

    Ajira za Ualimu sasa ni wimbo,zinatoka kesho usiku

    Wasiwe na haraka,kwani kuajiriwa ni haki yao.
Back
Top Bottom