Search results

  1. Sanctus Mtsimbe

    Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    Daaah! Hii Thread bado inaendelea kumbe bado inaendelea. 14 Years Later . . . Ngoja nianze kuipitia niandae TV Series ya JKT maudhui ya Kujenga Vijana na Comedy! Asanteni kwa Michango yenu.
  2. Sanctus Mtsimbe

    Zuku yamwaga ajira kwa vijana wa Kitanzania

    FTA zinarudi kwa Operators wote. Channel hooking imeruhusiwa pia So Level Playing Field inakuja kuondoa Exclusivity
  3. Sanctus Mtsimbe

    Zuku yamwaga ajira kwa vijana wa Kitanzania

    Ni kweli kabisa Ila siku hizi Agents wanaketa Fake Sales. Anactivate decoder ili ionekane Sales na kupata Commission nk. Next Month Mteja hapatikani. So its just a check, balance and controlling mechanism
  4. Sanctus Mtsimbe

    Zuku yamwaga ajira kwa vijana wa Kitanzania

    Ukishafanya Mwezi Moja Na ukafanikiwa mauzo unalipwa Usafiri Laki 1 Mshahara Laki 3 Commission Laki 250 Faida yako ya Mauzo Laki 690. I.e. Unanunua kwa Shs Elfu 55 Na Kuuza kwa Elfu 78 Jumla: TZS 1,340,000
  5. Sanctus Mtsimbe

    Tunatafuta wauzaji na installers wa ZUKU Wilayani

    FTA unazipata bila kulipia. Pay Channels hadi ulipie
  6. Sanctus Mtsimbe

    Tunatafuta wauzaji na installers wa ZUKU Wilayani

    Yes. Nipo Zuku na SimbaNET. Coverage ya Zuku ni Baadhi ya Maeneo. Mostly Masaki; Oysterbay; Mikocheni; Kariakoo; City Cente na maoneo yanayozunguka maeneo yaliyotajwa. Bado tuna expand Network. Hata hivyo nje ya Maeneo hayo unaweza kupata connection kutoka SimbaNET at entry level price like...
  7. Sanctus Mtsimbe

    Tunatafuta wauzaji na installers wa ZUKU Wilayani

    Local Channel zinazoruhusiwa kwenye Pay TV ni TBC1 na Safari Channel. Ila pia zipo Wasafi, TVE na Clouds Plus na Sibuka
  8. Sanctus Mtsimbe

    Tunatafuta wauzaji na installers wa ZUKU Wilayani

    Karibu sana Bundle Likiisha Authorized Channels kwenye Pay TV unaendelea kuziona
Back
Top Bottom