Search results

  1. M

    Worst/Best Presidents Ever!

    Mimi mwenyewe namshangaa huyu Gustanza jinsi anvyojaribu kumfananisha Nyerere na Sankara. Huyo Sankara mwenyewe alishaanza kuwa Mugabe wa enzi hizo tushukuru tu wajanja walimuondoa mapema.
  2. M

    Worst/Best Presidents Ever!

    Gustanza, unataka kusema Sankara ni bora kumshinda Nyerere?
  3. M

    Mkapa above the law?: Allegations

    Babu, haya unayoyakomalia hapa na kusema je tutakubali mahakama nayo imsafishe sijui umeyatoa wapi. Mkapa sio fisadi. Hata kama angekuwa, bado ana kinga kama rais mstaafu. Labda katiba ikibadilishwa kitu ambacho sioni kama kinawezekana kwa siku za hivi karibuni.
  4. M

    Mkapa above the law?: Allegations

    Please sign my autograph. Maana wewe ni FDR.junir kweliweli. Point nzuri kabisa maana inaonyesha wazi kuwa Mkapa ameisha hukumiwa hapa JF long time ago.
  5. M

    Tanzanians to pay much more for power

    Ubinafishaji sio kitu kibaya babu tatizo ni njisi serikali yetu inavyojiingiza kichwa kichwa. Dunia inasonga mbele.Ukitegemea kuwa sera za ujaa zitakuwa na nafasi huko tunakokwenda, unakosea sana.
  6. M

    Mkapa above the law?: Allegations

    Mimi mwenyewe nisinge apologize kama huyu jamaa alivyofanya. Hilo ndio tatizo la watanzania hatutaki kabisa watu waungwana. Wale wanaokumdania huyu jamaa sijui lengo lao ni kumtaka aseme nini ili wafurahi. BongoTz usikonde babu umesamehewa na wanakijiji wote wa kijiji cha Lusilile kilichopo...
  7. M

    Mkapa above the law?: Allegations

    Hapo umeongea babu. Inasikitisha kuwa muda tuliotumia kumkaindia Mkapa tungeutumia vema kuji-organize na kuhakikisha kwamba Kikwete hatoki nje ya mstari kama Mkapa alivyofanya. Mimi simpendi mkapa kwasababu tu ni chinga boy. Lakini yeye kuibia serikali kidogo wala hainiumi masela. Angalu yeye...
  8. M

    Mkapa above the law?: Allegations

    Nadhani huyu BongoTz yuko mbele yetu hatua kumi na zaidi. Kwasababu inaonyesha wazi kwamba kuna game anaicheza hapa ulingoni ambayo sidhani kama kuna mtu ameishtukia so far.
  9. M

    Mkapa above the law?: Allegations

    We mgagagigikoko, issue ya radar ni issue complex kidogo. Hata kama angekuwa Nyerere angeinunua hiyo radar whether anapenda ama hapendi. Kumbukeni kuwa baada ya kilichotokea kwenye ubalozi wa marekani mwaka 98, plus matendo machafu yaliyofanywa na madevu huko kiwanja mwaka 2001kulikuwa na...
  10. M

    Mkapa above the law?: Allegations

    Mkamap an point jmush1. Tatizo ni kwamba, Tanzania ni mbovu. Wasomi wetu wengi ambao wamekulia, soma na kuzeekea Tanzania (ambao hawajatoka nje ya nchi) wamechangia sana kuliangusha taifa letu. Angalia wewe mwenyewe: hivi kweli utanetemea tutoe vichwa vizuri vya wachumi na ma-injinia pale UDSM...
  11. M

    Mkapa above the law?: Allegations

    Mkapa; jiwe linaloelekea kudharauliwa na Watanzania limekuwa jiwe la kimataifa Na, Padri Kitambo Robert Rais mstaafu Benjamin Mkapa ni Rais wa Awamu ya Tatu tangu Tanzania ipate uhuru, na ni rais ambaye aliingia Ikulu kupitia mfumo wa vyama vingi. Amekaa madarakani tangu Novemba 23, 1995...
  12. M

    Mkapa above the law?: Allegations

    Warioba; Tusiruhusu Kashfa zitugawe Na Yahya Charahani WAZIRI Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba ameonya dhidi ya utamaduni wa kuchafuliana majina ulioibuka miongoni mwa jamii kwa kuwa utakapokomaa utasababisha wananchi kusahau mambo ya msingi na kusababisha vurugu. Akizungumza jana...
  13. M

    Mkapa above the law?: Allegations

    Babu, Mkapa ni dugu yako nini? Mbona unamtetea kwa nguvu zote. Kulikoni? Ama umekuachia 10% ?
  14. M

    Mkapa above the law?: Allegations

    Leo hapa kutakucha! Ndiyo, japo nina serious reservations kuhusu Mkapa, lakini naungana na BongoTz kuwa Mkapa, ni mtu safi ukiliganisha na hao wengine. Mkapa anabebeshwa mzingo mzito hapa. Mtu mmoja hawezi akabadili uozo wa taifa zima kwa kipindi kifupi cha miaka kumi tu. Hata Marekani yenyewe...
Back
Top Bottom