Ushahidi upi manning?wameshoot ushahidi Kama send-off na kupost U-tube!!
Hilo bomu unarekodi Kama Send-off unajua mchezo wote..alafu Kibaya kwa nini wajipe Haki kutoa roho za watanzania...hili hapana, angelipua club Billicanas arekodi bila watu..mpuuzi mkubwa
Wamerekodi play by play..Hilo Bomb unarekodi bila kuogopa kufa...kweli, wewe ni mzima? Hata Kama sio hivi, hii Kitu Mbowe atueleza mazingira haya yana utata sana kudai anao ushahidi..
CDM, otherwise wana damu mikononi
Well said..CDM hata wahumu JF wanamuogopa sana Wassira..wakisia tu, ni kutukana kwenda mbele..
CHADEMA Wassira atawaoa elfu mbili 15, msiogope Mkurya huyooooo.lol
mhe.esther bumalaya karibu jf..wassira has done big things in bunda, hata ukisagwa vipi mama na ligi za mpira, wewe ni bakari tu unafanywa mapenzi na bakari mwenzio tofauti na maadili ya bunda.
Eti unec wa wilaya zaidi kuliko unec taifa, ukilaza wako na kangi ndio unajionyesha dhairi ambapo...
Uchaguzi wa Pesa Unafikia Mwisho..CCM ni Big Tent, Mgombea ambaye anakubalika na Makundi yote ni atateuliwa kupeperusha Bendera ya CCM.
UMOJA NI USHINDI, WASSIRA CAN UNITE CCM..A UNITED CCM IS UNBEATABLE!!
For him to be around that long in TZ political life, I say "yes" WASIRA FOR PRESIDENT.
Tangu ameondoka Wizara ya Kilimo, ni njaa tu..Mvuto wa Agriculture is gone without Wassira...Vijijini Mzee anapendwa acha kabisa
Stephen Masato Wasira ni Kada Msomi aliyehitimu shahada ya Uzamili ya Uchumi kutoka Chuo kikuu cha Kimarekani "American University" juzi tu mwaka 1993..Mzee Yuko Facebook & Twitani anabadilishana mawazo na vijana alafu ni mbaya katika jukwaa juzi tumemsikia akimwaga Nondoz mahafali ustawi wa...
no permanent friends in politics, only permanent interest...kikwete atampiga chini lowassa sababu lowassa ni mtu wa kisasi hawezi kuwa sure na leadership yake..kama sitta aliyopigwa mweleka uspika same for lowassa...no permanent friends in politics, urafiki wa mwaka 47 wa nchimbi na lowassa...jk...
hoja za kigovi ndio zitafanya chadema ikose mvuto 2015..kilaza: Zuia kwa hoja sasa kiumbe cha gombe ndio nini?ataletwa huyo tuone atakavyo wakimbiza rwanda..mnapigwa mkubali sio kuvuruga amani, hacheki kama fastjet..kz kz
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.