Search results

  1. M

    Arthur Mwakapugi Afariki Dunia

    Figo zilishindwa kufanya kazi
  2. M

    Meli ya MV Skagit yazama

    Tofautisha taarifa kamili na.kuthibitisha,Breaking News ni News flash mkuu
  3. M

    Mch. Mwesiga afyatuka... "Matatizo hayawezi kutatuliwa na watu wenye fikra zilizoyasababisha!"

    Wana bodi kitu ambacho nashindwa kuelewa wabunge wa CCM badala ya kuisimamia na kuishauri serikali wao ndio kwaaanza wanaitetea dhidi ya udhalimu wa watanzania
  4. M

    Mwenye CV ya Novatus Makunga atuwekee humu JF tuifahamu...

    Sasa najaribu kuunganisha dots nan hii habari kwenye blog ya michuzi MICHUZI: mdau novatus makunga abariki ndoa na mai waifu wake
  5. M

    Picha, Sekeseke la Tandahimba

    Nchi hii sasa haitawaliki tena,maana mtawala hakai nyumbani na ma-house boy aliowaacha wanabaka na kutumia hovyo vitu vyetu kwa jina la uwaziri,waaaapi baba Mwanaasha, Kusini, Nyanda za juu kusini na Kaskazini kimenuka bado pembe 2 tu ili nchi inuke yote.
  6. M

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    :rockon: Hivi safari hii ARUMERU MASHARIKI hawakupewa ubwabwa kama IGUNGA?pole DENJA-MAN MKAA-HAPA kwa kupoteza umaarufu ktk uchaguzi uliokosa maadili,pole MAGAMBA wamepigwa na shoti ya umeme wa MGAO:lol:
Back
Top Bottom