Aliyekuwa mgombea Urais CCM, Mussa Kalokola, alaani kauli ya Kinana ya kuwafananisha na Makapi
Aliyekuwa mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM Musa Muzamill Kalokola amelaani vikali kauli ya jana ya Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana kwamba ambao hawakupitishwa kugombea Urais kupitia CCM ni...
Mkuu ndiyo uthibitishe leo tangu lini mtu aina ya Makonda akamsifia kiongozi makini wa upinzani? CCM amsifie upinzani? Kweli? Kwa CCM hii ninayoijua? Ulishawahi kuona lini Maalim Seif au Dr Slaa akisifiwana CCM?
Chadema haina mtu anayeitwa Henche...
BTW..Kwa taarifa yako Chadema hatugombanii madaraka bali tunagawana majukumu..Unadhani ni kama CCM wanagombania Urais watu 40?
Chadema haiwezi kupongezwa na CCM.Chadema inapongezwa na wanachama wake na wananchi.
CCM kazi yao iliyobaki ni kupongeza michepuko yake Zitto na Mrema.
Ukitaka kumjua mtu tizama wanaomuunga mkono.Na ndege wa mabawa yanayofanana huruka pamoja.
Ni lazima Makonda amtetee kibaraka wao aliyeko upinzani.Siku zote wanasiasa wanaosifiwa na CCM ni Mrema na Zitto.
Kwi kwi kwiiiiii
Mkuu wangu mamakunda nikuhakikishie tu hakuna wa kumzuia mwita Waitara kuchukua ubunge Ukonga.CCM imekufa kifo cha mende kwa kushindwa kutatua matatizo ya wananchi hasa ubovu wa barabara zote za Ukonga.
Unapoona michepuko ikimshambulia hapa ujue ameiweka CCM katika hali mbaya sana kisiasa..
Mkuu mbona hujanijibu? Nimekuuliza vipi kijana wetu anayezomewa kila mahali leo yuko wapi?
Ile video ya Tunduma ni ya kweli?
Kwenye Urais uko kambi gani? Uko ya mtu wa 'dini yetu' ama unamuunga mkono Padre Agustine Ramadhani?
Naona unawahi kukimbilia posho kwa sababu ofisi Lumumba leo mwisho saa saba.
Nikuhakikishie tu piga domo upendavyo lakini CCM Ukonga haina kitu.Mtashindana sana lakini kamwe hamtashinda.
Ukonga tumewachoka nyie CCM.Chadema na Ukawa ndiyo mpango mzima.
Mkuu unamwelewesha mtu asiyeelewa na asiyetaka kuukubali ukweli kwa sababu maalum.
Kuonyesha Waitara anafaa kwake yeye maana yake ni kuipokonya CCM tonge mdomoni.Kwa hiyo atabishana tu kama Kasuku.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.