Search results

  1. O

    Watu wanapata kazi na sio kazi kupata watu

    Wadau kuna mdau amesema katika kipindi cha TUONGEE ASUBUHI Star Tv kuwa kazi hazipati watu ila watu wanapata kazi ndo maana kuwa low performance. Imekaaje hii mbona sielewi flani
  2. O

    Sikubaliani na kauli hii ya Baba wa Taifa NYERERE

    Nikiwa kama mtanzania ninayefikiri ninaamini kuwa hakuna aliyekamilika na wa kuaminiwa asilimia 100 zaidi ya Mungu peke yake. Mengi aliyosema mzee wetu mpendwa hayati baba wa taifa yanatufaa na yako relevant kwetu na hata kwa kizazi kijacho kisichomjua kitaendelea kunufaika na hotuba zake nzuri...
  3. O

    Nafanya kazi na nimeajiriwa ila ni ngumu balaa nataka hata kuacha japo sijapata ingine

    Wadau nimeajiriwa na kusaini mkataba ila kazi ni ngumu sana nataka kukimbia.sijui mnanishaurije coz kuna wengine wamenishauri nisiache coz mtaani ni pagumu xana
Back
Top Bottom