Porojo za siasa ziko too much. Ni wakati muafaka kuangalia nani hasa anaehusika na upotevu wa mali ya umma na sio kushambulia mawaziri wasio na hatia. Ukizingatia tunapoteza hazina ya wataalam kwa watu wa hulka ya Prof. Muhongo. Wabongo,tutamkumbuka huyu baba,nipo hapa.
Kwanza,tulaumu wazazi,wajue watoto wao wanafanya nini na wako wapi muda wote.
Pili,turudishe accountability za mabalizi wa nyumba kumikumi.
Tatu,Neighborhood watch ni muhimu kwa kila raia. Watu waelezwe kuwa ulinzi wa nchi ni wajibu wa kila raia.
Nne,uongozi wa mitaa uamke kukabilina na...
Based on ur last name,it's a shame to cook up story coz u know how much it takes when u carry those last names!!For u to insult HE The Presidents kids without any factual evidence is totally low!!
Wewe uko DMV na itakuwa ni wale watu wachache wanaojulikana kuingilia mikutano ya wenzie na kufanya fujo. True fighter doesn't use force,itisha mkutano wako tupime wangapi wako tayari kukusikiliza wewe
Hao watu wenye contact info wa hiyo protest hawana karatasi kwa hiyo suala la uraia pacha haliwashtui. Dotto Malongo anahudumia mataahira ndio maana na yeye akili zimemruka
Amerika hawana upeo mdogo kama uonavyo wewe. Ukienda mahakamani utajikuta wewe ndio unafaa kumlipa faini kwa kuandika uzushi na uongo. I hear about her,nafasi yake ya katibu wa tume ya uchaguzi,aliwabana sana waliotaka kuhujumu uchaguzi,matokeo yake mmeanza kumpiga vita mitandaoni kumbe ndio...
Lete facts please!walioleta hujuma mbona ni CHADEMA everyone knows. Wagawa karatasi za wapiga kura ni mpiga debe wa Libe(Jabiri Jongo-CHADEMA). Huyu bwana inabidi ajibu hizi tuhuma za kura kuzidi wapiga kura. Walioleta watu wanaoishi nje ya majimbo husika,yaani wakaazi wasio na sifa za kupiga...
Nakuunga mkono,vilevile wananchi waelimishwe kuzuia kwa kuelewa chanzo cha ugonjwa. Repoti mbalimbali zinasema chanzo ni wanyama pori kama nyani,na popo na wengine. Pia nguruwe anaweza kuwa na virusi vya ebola. Unaambukizwa kwa kula hizo nyama au mizoga yao kuingiliana na vitu mbalimbali vya...
Sawasawa ,namuunga mkono Mh. Rais. Mpaka siku tutakayojifunza heshima inakuja kwa kujiheshimu. So until we all learn that,then tuwe na nguvu ya kumlaumu
Nimehudhuria mikutano mingi ya Mh. Kikwete,naweza kusema kuwa amenifanya niwe proud na nchi yangu kwa jinsi anavyoelezea watz mambo ya serikali. Ninaongea na waafrika wengi,wala hawajui kuwa rais wao wako hapa USA, wengine kama wa magharibi wanasema walioalikwa ni watu wanaojulikana na balozi...
Napendekeza kuwe na sheria za kupima damu kwa kushtukizwa ili kujua kama watu wanatumia vilevi wakiwa bungeni. Kwa nchi zilizoendelea, Maana eneo la kazi ukikutwa damu yako ina vilevi,unafukuzwa kazi au kusimamishwa kwenda rehab.
DMV(Dc,Maryland,Virginia)=Environmental=Liberatus Mwang`ombe.
Huyu kaka anahitaji some serious religious tolerance counseling sababu chuki yake kwa waislamu inatisha. Anatoa ujumbe youtube kufanya kampeni safi halafu anakuja huku na ID tofauti na kueneza chuki za udini. Kijana kuwa na...
Mleta mada,maelezo yako hayana mshiko.
Nina rafiki yangu huko DMV tuliachana miaka kadhaa niko UK lakini nikamtafuta nijue kunani? Nimeongea na watu wa dini tofauti wote hawaungi mkono hoja yako.
UONGOZI uliopo wanasema ni Rais tu mwislamu,Makamu,katibu,mweka hazina wote wakristo. Hapa...
Ni wakati wa wananchi wote kuamka na kupinga hizi tabia za uharamia. KAMA WASEMAVYO: IF U SEE SOMETHING,SAY SOMETHING. Kazi ya ulinzi ni jukumu la kila mwananchi. Tutoe taarifa tunapoona watu watoka mbali wenye kuamsha hisia za mashaka.
Really? Una facts na statements zako?? Usikurupuke,I don't know uko state gani USA,Lakini FYI wabongo wengi tu wana kazi zao nzuri na majumba yao waliopata kihalali maana wana make six figures!! So take back the statement kuwa ni kila mtu,LAHASHA!!!
Ulivyo na chuki na Mt. Baba wa Taifa,unamtaja hata pasipo lazima. Chochote alichokutendea,let it go. Kama ni malipo ya akhera,ameshalipwa. Unajichumia dhambi kuwa na chuki na mtu ambaye ni marehemu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.