Search results

  1. L

    Lugha chafu kwa wauguzi wa kike mbeya hospital

    Baadhi ya Wauguzi wa kike ktk hospitali ya mkoa wa Mbeya ni kama si wanadamu jinsi wanavyowafanyia wakina mama wajawazito.Mfano ,mke wangu aliambiwa mtoto amekufa na matusi makubwa makubwa ajabu mke wangu alijifungua mtoto mzima.Baada kufanya utafiti nimegundua kuwa kauli za mtoto amekufa...
  2. L

    Jamani TBC

    Siamini ninachokiona tbc ,hili ni shirika la taifa la utangazaji , nashangaa linashindwa kurusha mechi za AFCON.Miaka ya nyuma itv walikuwa wanarusha kwa sasa wakati wa sayansi na technojia hawarushi.JIPANGENI MTUFURAHISHE WA WATANZANIA.TTAKRIBANI MASHIRIKA UTANGAZAJI YA MATIFA MENGINE...
  3. L

    Tiba ya chronic nematodes

    nimekuwa nikisumbuliwa na aina mbalimbali za nematodes tangu mwaka 2005.Nimetumia dawa mbalimbali lakini bado tatizo lipo na huwa naambiwa hao nematodes wamekuwa sugu mpaka wanatengeneza cyst , naombeni ushauri
Back
Top Bottom