Search results

  1. D

    Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

    Mkulo kapotezwa!hahahaa
  2. D

    Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

    I salute u boss!
  3. D

    Nia ya Dhati ya Wanaharakati Kumshtaki Livingstone Lusinde kwa Child Abuse

    Maneno alosema Lusinde yangekuwa yamesemwa na Mbunge wa CDM saa hizi kesi ingekuwa ishafunguliwa na keshahojiwa na pale Clouds FM ingekuwa ndo Topic!Naomba wanaojua sheria watusaidie kufungua kesi juu ya huyo Lusinde plz
  4. D

    Nani kamponza sioi sumari...!

    Hahaaa
  5. D

    Mkutano wa Pongezi kwa CHADEMA

    Viongozi wastaafu wasishirikishwe ktk siasa !maana sijui Mkapa anajisikiaje kwa sasa!Siasa ya sasahivi ni nguvu za hoja sio umaarufu wa mtu!Mwanza tumeona mh Sita alipopata aibu pi
  6. D

    Ephraim Mrema na Ufisadi TANROADS

    kuwa best students hakumpi sifa ya kulipwa hivyo jamani
  7. D

    Ephraim Mrema na Ufisadi TANROADS

    Shukuru jana alikuwa mdogo wakati hoja nzito zikipangwa mbele ya meza yake na wabunge
  8. D

    Ephraim Mrema na Ufisadi TANROADS

    Ngeleja,sema basi na hapo
  9. D

    Ephraim Mrema na Ufisadi TANROADS

    hapo TANROADS ni pa wachaga kama hamjui na itakuwa ngumu sana Mrema kuondoka maana naye anakata fungu kwa vigogo. Barabara hamna watu wanalipwa kama ma TX huku wenye magari wakizidiwa na mzigo wa kurepea magari yao, Nchi hii watu wanakula tu ila nakwambia siku inakuja watalia na kusaga meno...
  10. D

    CHADEMA kweli ni shwari au ni kauli za kisiasa tu ?

    nahisi pia wangwe hasira zitakuwa zishamtua
  11. D

    CHADEMA kweli ni shwari au ni kauli za kisiasa tu ?

    mzee tumekupata!!!!Hayo ndo mambo,tunasubiri kwa hamu japo nasafiri nikifika tu ninafungua
  12. D

    CHADEMA kweli ni shwari au ni kauli za kisiasa tu ?

    maana hili mla chaha kudai Ruzuku wakati NDESAMBURO amekikopesha chama zaidi ya 100 mil na Mbowe amekipa zaidi ya 500 mil na wapo kimya Then mtu analia na milion 65 naona amelewa madaraka huyo,kwakuwa amefikia kuwa makamu anaona atakuwa mwenyekiti soon!!!THATS WRONG CHACHA
  13. D

    CHADEMA kweli ni shwari au ni kauli za kisiasa tu ?

    nimemfuatilia Chaha muda mrefu akiwa anatoa michango yake bungeni nikaona ni mtu asiyekuwa na malengo,haswa wakati huu wa bunge la bajeti hakuwa amejipanga kabisa.Na hili nadhani ni UGENI WA MADARAKA.Nafasi hizi tunazitaka sisi wanyonge za kupeleka mawazo yetu huko sebuleni ila naona mwenzangu...
  14. D

    Slaa awasha moto mwingine

    Na pia asubuhi Dr Slaa alimbana Marmo haswa kuhusu nafasi za wabunge ktk makampuni ambapo kuna mgongano sana wa kimaslahi na Marmo akasalimu amri japo alijidai haewi hilo mpaka KIONGOZI wa upinzani bungeni aliposimama akamfafanulia,na mwisho akajibu kuwa Serikali italifanyia kazi
  15. D

    Slaa awasha moto mwingine

    Thanks Asha,nimpigiwa simu toka dodoma kwa hiyo hoja ya Slaa,ila wabunge fulani fulani wa CCM wanaendelea kumpinga Slaa,japo kwa pale bungeni ILA NAAMINI MOYONI WANAMKUBALI SANA HUYU MZEE WETU maana huwa anawapasha haswa! Bravo Slaa
  16. D

    Daudi Ballali's Death

    Duh! nimesikitika sana maana jamaa atakuwa ameondoka na siri kubwa sana moyoni na kikubwa zaidi ni fundisho kwa mafisadi kuwa hata wakichuma vipi wataondoka waziache hapa duniani Angetoa hata hints tu za siri za hawa watlobaki walivyochota hela hapo BOT,maana kuna watu najua wamefurahi mno...
Back
Top Bottom