Search results

  1. A

    Kwa shambulio hili la Israel basi vita baina yao ndio basi. Kila mmoja atamuheshimu mwenzake

    acheni ujinga hiyo picha ni ya mwaka 2021 kwenye oil refinery https://www.rferl.org/amp/iran-fire-oil-refinery/31289054.html
  2. A

    Kwa shambulio hili la Israel basi vita baina yao ndio basi. Kila mmoja atamuheshimu mwenzake

    https://youtu.be/CBf8VvyiWIw?si=QxSv0b2jB_YTr0Ck
  3. A

    Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

    https://youtu.be/CBf8VvyiWIw?si=QxSv0b2jB_YTr0Ck
  4. A

    Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

    wamekufa watu wangapi? au amejeruhiwa mtoto wa kike
  5. A

    Makombola yanatumia saa manane angani halafu unategemea kumlipua Muisrael

    https://youtu.be/2-1DtrRYijQ?si=RwueCm_3QbvGjPJJ
  6. A

    Netanyahu- Israel itajifanya maamuzi yenyewe jinsi ya kulipa kisasi

    https://youtu.be/2-1DtrRYijQ?si=RwueCm_3QbvGjPJJ
  7. A

    Iran ilitumia silaha aina mpya kisiri na zote zilipigwa chini kizembe, aibu sana

    https://youtu.be/2-1DtrRYijQ?si=RwueCm_3QbvGjPJJ
  8. A

    Nimeshindwa waelewa Wairan mpaka sasa. Nilianza furahia. Iran imerusha Mafataki Israel?

    https://youtu.be/UnzLdsI8GPc?si=OZXk8R7dbb5qd-QG
  9. A

    Israel yataka Vikwazo dhidi ya Mradi wa Makombora wa Iran

    sikiliza hapa utajua malengo ya iran yalivyofanikiwa https://youtu.be/UnzLdsI8GPc?si=OZXk8R7dbb5qd-QG
  10. A

    Nyie CHINA si superpower nyie...vip mbona mnatia huruma sasa

    Kama walivowafungia waislam Wa Uyghur na wao wanaadhibiwa kwa kifungo
  11. A

    Sababu za kiroho za kusambaa Kwa kirusi cha Corona nchini China

    Hio sio kazi ya binaadamu kujudge
  12. A

    Sababu za kiroho za kusambaa Kwa kirusi cha Corona nchini China

    Hiyo inaitwa ISTIDRAAJ katika lugha ya kiarabu mana yake KUPURURIWA. Mtume anasema : "Utakapomuona mja anapewa ayapendayo katika dunia pamoja na kufanya kwake maovu basi jua hiyo ni istidraaj, kisha akasoma maneno ya Allah : Basi walipoyasahau yale walio kumbushwa tuliwafungulia milango ya...
  13. A

    Sababu za kiroho za kusambaa Kwa kirusi cha Corona nchini China

    Mifano katika Quran na hadithi ipo mengi tu Allah anafanya atakavyo, kuna watu wa aina tofauti 1. Anapofanya kosa hupewa mtihani na matatizo ili arudi. Allah anasema katika 32:21 21. Na tutawaonjesha adhabu khafifu kabla ya adhabu kubwa, huenda labda watarejea. 2. Anapofanya kosa huachiwa na...
  14. A

    Sababu za kiroho za kusambaa Kwa kirusi cha Corona nchini China

    Maradhi yakimpata mtu mwema inakua ni mtihani kwake na majaribio pamoja na kufutiwa dhambi, na yakimpata muovu inakua ni ukumbusho kwake kurudi kwa Mungu, na kuna waovu wengine wanaachiwa wastarehe bila kupata onyo ili siku wakikata roho adhabu iwapate kisawasawa
  15. A

    Sababu za kiroho za kusambaa Kwa kirusi cha Corona nchini China

    Inawezekana hakumkataza na kosa hilo kwa hiyo na yeye anaadhibiwa kwa kosa lake hilo , kisha siku ya qiyama kila mmoja atalipwa kwa matendo yake. Nakutolea mfano: Kwanini wewe akikutafuna sisimizi mmoja tu unawauwa wote? Mjenzi aliefanya kosa katika ujenzi, siku likiporomoka wote waliokuwemo...
  16. A

    Sababu za kiroho za kusambaa Kwa kirusi cha Corona nchini China

    Adhabu ikija haichagui Allah anasema: 25. Na iogopeni Fitna ambayo haitowasibu walio dhulumu peke yao kati yenu. Na jueni kuwa Mwenyezi Mungu ni Mkali wa kuadhibu. Ikiwa kuna watu wanafanya maovu na hakuna anaewakataza basi adhabu ikija haichagui
  17. A

    Wakazi wa Mtwara na Lindi, tupeni hali ya hewa na kile kinachojiri

    Yaa fanya simulation peleka hadi jumatatu na jumanne wingu lote lipo mtwara mvua kubwa sana sana sana
  18. A

    Wakazi wa Mtwara na Lindi, tupeni hali ya hewa na kile kinachojiri

    Newala, tandahimba kitunguli, nimkupa hali itakua mbaya kupita kiasi. Mvua zinaweza kudumu hadi wiki ijayo. Kupata picha ya mvua inaweza mvua ya miaka 2 ikanyesha ndani ya siku 5. Chukua tahadhari
Back
Top Bottom