Search results

  1. M

    Serikali yawadanganya wahisani kuhusu bajeti!

    mimi nimeshindwa kuchangia wamenichosha ila najua siku sio nyingi hawapo
  2. M

    Namchukia Jakaya Kikwete

    Nafikiri mimi namchukia kuliko nyie wote kwa sababu ameninyima haki yangu ya kupiga kura kama mwanafunzi wa chuo kikuu na pindi alipoulizwa na waandishi wa habari alijibu kihuni kwamba yeye siye wakuu wa vyuo ili hali akijua kuwa yeye ni ndiye mteuzi wa wakuu wa vyuo na manaibu wakuu wa vyuo...
  3. M

    Safari ya Andrew Chenge kuwania Uspika wa JMT

    HATA KAMA MAVI NI MBOLEA HAIONDOI UKWELI KWAMBA MAVI YANANUKA, NINACHOMAANISHA NI KWAMBA FISADI SIO MWILI AU RANGI BALI NI TABIA KWA HIYO FISADI NI FISADI TUU,Chenge hatufai watanzania akitaka akachunge ng'ombe na awe spika wa ng'ombe na sio wa-tz ila namkubali sita hata kama ana kimada kwani...
  4. M

    CHADEMA waanzishe na kumiliki News Media zao

    Mimi nasapoti na pia nipo tayari kuchangia tv na redio kwa sababu bado watanzania wengi bado wamelala hasa kisiasa and specifically vijijini.
  5. M

    Hongera Regia, Mbunge kupitia viti maalum CHADEMA

    Nilikuwa nimepotea kidogo 7bu nilikuwa mbali sana na mtandao ila nimerudi na ninampongeza sana Dada Regina na Chadema kwa ujumla wake na pia na namuomba akawachakachue mafisadi.
  6. M

    In DEFENCE of LOWASSA (Warioba & Butiku on it)

    Nashindwa kukuelewa wewe mtu uko upande gani? ningefurahi sana kama Lowasa angeenda mahakamani
  7. M

    In Edward Lowassa, I trust...

    mimi nakuunga mkono kwamba kampeni zimeanza kwa sipidi
  8. M

    Mkapa

    China miaka ya nyuma baadhi ya viongozi wao walifanya makosa kama haya haya ya kina Mkapa matokeo yake leo hii wanaishia kunyongwa na wengine wanaishia kujiua kwa kujirusha kwenye miamba na kufa . MIMI NASEMA IKO SIKU INAKUJA KATIKA NCHI YETU AMBAPO WANAYOYAFANYA WENZETU TUTAYAFANYA NA SISI.
  9. M

    Mkapa

    mimi nasema hivi wanaosema Mkapa aachwe apumzike wanakose kwanin nani amempa kazi? Na vile vile vile lazima tutumie usomi wetu vizuri na taaluma zetu sawa sawa kwamba kila baada ya kazi kufanyika lazima tufanye analysis na kwa maana hiyo lazima tuzungumze mpaka Yesu arudi na pia naomba niseme...
  10. M

    Leo yanatimia yaliyonenwa na manabii

    A CLOUD OF ANNOINTING. A cloud of annointingfor wealth is hovering over the land ofTanzania.It is a thick cloud like the one appeared to the Israelites in the desert,this is a cloud of protection,provision and guidance. It will protect this nation fron calamities and danger;it will...
  11. M

    CCM, CUF wapigana

    ''BABU ATAKA KUSEMA'' USIWE NA MASHAKA SANA KUHUSU AMANI YA NCHI HII SABABU WANAOTAKA KUHARIBU AMANI YA NCHI HII AMBA HATA SIAFU NA VIROBOTO NA VIUMBE WASIO NA UTASHI NA WASIO NA UHAI...
  12. M

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    Hakuna rangi ambayo hutaacha kuona chenge na kama una vidonda vya tumbo hakikisha unatembea na maziwa usije ujafa
  13. M

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    Kimefika kipindi ambacho Mungu ameanza kuitembelea Tanzania, ambapo Mafisadi wote mtaanza kukanyagana wenyewe na wenyewe mtakimbia na kuacha wasafi waendelee.Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Afrika.Chenge amua kujiuzulu 7bu hapo ulipo hauna pa kupumulia na umeaibisha mke wako na watoto wako...
Back
Top Bottom