Search results

  1. K

    Wabunge waliogongana Richmond warudishwe- Mzee Mwanakijiji

    I have only this to say on Lowassa: "He is as rotten a human being as can be found anywhere under their "flag"; he is a shame to the Masai People and to the nation, and no one who has helped him to send him to the Parliament / Prime Minister's office who did not know that, his proper place was...
  2. K

    Rostam aibukia kanisani!

    Imekuwaje Mtu ambaye sio muumini akapewa fursa ya katika Madhabahu na kusema katika ghafla rasmi ya Kikanisa/ kidini? Hapa kuna usaniii naona Paroko kaweka Pesa mbele mmno; ndiyo maana tumeona baadhi ya Makanisa yakigombania waumini Ktk Tv kwa lengo la kuongeza sadaka/ Mshiko.
  3. K

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    Kamati Kuu ya CCM imejaa Udini? -------------------------------------------------------------------------------- Nadhani mzee, huko kijijini njaa imezidi, ulikuwa wapi hukuuliza swali hili kwa zaidi ya miaka 10 Mkapa akiwa M/kiti Rais Sumai Mjumbe na W/mkuu magúla katibu. kama utafanya...
  4. K

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    to ''coner' a block of people to vote for a candidate
  5. K

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    Kamati Kuu ya CCM imejaa Udini? -------------------------------------------------------------------------------- Nadhani mzee, huko kijijini njaa imezidi, ulikuwa wapi hukuuliza swali hili kwa zaidi ya miaka 10 Mkapa akiwa M/kiti Rais Sumai Mjumbe na W/mkuu magúla katibu. kama utafanya...
  6. K

  7. K

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    Nadhani mzee, huko kijijini njaa imezidi, ulikuwa wapi hukuuliza swali hili kwa zaidi ya miaka 10 Mkapa akiwa M/kiti Rais Sumai Mjumbe na W/mkuu magúla katibu. kama utafanya uchunguzi utaona kwamba siku zote swala la UDINI linaibuka tuu pale, jamaa wa dini fulani wakionekana kwamba wamekua...
  8. K

    ’Smear’ campaign against PCCB boss gathers steam

    Is there anything good these currents Government officials they have done for Wananchi to be rewarded to get the Governments’ houses for almost nothing?? “ I don't think so!” These are just bunch of Bongo-Mobutus (Fisadis). Expecting anything Good, Honest from them is a waste of time. We should...
  9. K

    ’Smear’ campaign against PCCB boss gathers steam

    Is there anything good these currents Government officials they have done for Wananchi to be rewarded to get the Governments' houses for almost nothing?? " I don't think so!" These are just bunch of Bongo-Mobutus (Fisadis). Expecting anything Good, Honest from them is a waste of time. We should...
  10. K

    Rostam Aziz Kung'atuka!

    Kuna Umuhimu wa kuwaelimisha Wanyamwezi wa Igunga wajue ni kiasi gani cha fedha ambazo Rostam ameshawaibia kama wananchi wa Tanzania halafu tuone kama kweli watamhitaji tena: - Njaa na Ujinga vikikumbatina watu watakaangwa na mafuta yao bila kujijua
  11. K

    Lowassa anasafishwa!

    Lowassa, Karamage, Rostam na usanii wa Kifisadi, Tumeambiwa kwamba katika kikao cha CCM kilichokaa jana (15/06/2008) Dodoma, Bw. Lowassa alijitete kwamba; alitaka kuufuta mkataba wa Richmond mara mbili akakataliwa!! Haya ni madai ya kinafiki kabisa ya hadithi ya Sungura na Zabibu; ”Mbichi...
  12. K

    Jk Na Wa-bia Wa Urais Wake

    LOWASSA NA ROSTAM NI ‘MADONI’ wa “BONGO MAFIA’’ Kwa muda mrefu watu mbalimbali haswa wanahabari wanofuatilia duri za kisiasa hapa nchini, wamekua akinukuliwa wakidai kwamba ‘URAIS WA JK NI WA UBIA’ jambo ambalo mwenyewe alilisikia na akalikana hadharani kwa kudai kwamba ‘U-raisi wake hauna ubia...
Back
Top Bottom