Search results

  1. E

    Ufafanuzi wa kozi za engineering kwa wanaotarajia kujiunga na Engineering (wanao apply chuo)

    Hakuna kozi ya IT ambayo haina ajira na umuhimu, sio miaka hii ya karibuni tangu miaka ya nyuma, issue za Information Technology zinahitajika mno duniani kote.Kutokana na sera mbovu za nchi zetu hasa nyingi za africa, hazikutilia maanani habari za IT, lakin kwa sasa ndio zinazinduka maana dunia...
  2. E

    Ufafanuzi wa kozi za engineering kwa wanaotarajia kujiunga na Engineering (wanao apply chuo)

    HAJAKOSEA YUKO SAWA,, WEWE NDIO HUJUI VIZURI, KUNA UTOFAUTI MKUBWA KATI YA COMPUTER SCIENCE NA SOFTWARE ENGINEERING, COMP SC. sometimes inatumika kama general term, na wakati mwingine kama specific kozi,, Software engineering ina fall kwenye computer science, kama sayansi ya computer ila sio...
  3. E

    Nampenda msichana mmoja lakini yuko katika relationship na mwanaume mwingine...sasa ni fanyeje?

    wewe una akili kweli? wewe unasema ana mtu tayar sasa wewe unachotaka ni kipi? umuharibie mwenzako? au ndo manager wa michepuko? na nyie ndo mnaowakuta wanawake wenye stability 'F' mkamaliza kabisa ndoa zao.acha ujinga
  4. E

    http://InternetDuty.com/?id=sima1 click and start MAKING CASH ONLINE

    Start making money without any cost
  5. E

    oooh eti kama huna pesa wanawake wazuri wataishia kuwa shemeji zako...sasa ukweli huu hapa!

    ni vigumu kumkubali mleta mada kwa sababu jana tu umetoka kununuliwa au kununua ngono au uko naye kwa sababu ya pesa, ni haki yenu kukataa ila kuna wanaume na wanawake wa kweli bado wapo
  6. E

    oooh eti kama huna pesa wanawake wazuri wataishia kuwa shemeji zako...sasa ukweli huu hapa!

    jamii bado haielewi na inafikiria zaidi ngono kuliko vitu vya msingi.ebu jaribu kuelewa mada ya jamaa. ameongelea mapenzi na sio ngono kama mnavyodai nyie msiofikiria vzr
  7. E

    oooh eti kama huna pesa wanawake wazuri wataishia kuwa shemeji zako...sasa ukweli huu hapa!

    hapo sawa mkuu!! ndo maana me naamini all programmer especially (computer programmers) are great thinkers, they think deep and deeper to search for the truth and solutions for problems. nilishawaambia mapenzi sio pesa au utajiri, ukisema mapenzi ni pesa unakosea, ulitakiwa useme biashara ya...
  8. E

    Dalili 6 Zinazopelekea Mwanamke Kufikiria Kuchit!

    mkuu kaongea ukweli na huu angalau ndo mfano wa mwanzo kuwa great thinker, kuna watu wanadai kaacha vitu kibao kama pesa n.k. lakin niwambie kitu, jamaa kaongelea mapenzi ya kweli the way ambavyo mwenza mmojawapo anaweza mchit mwenzie, tukisema pesa hata hivyo ameisema japo sio direct, pale...
  9. E

    Wachaga tusiwadharau katika mapenzi

    tumeshawaacha kitambo sana!!, kukaa ndani ka mke hamfai kabisa
  10. E

    Wachaga tusiwadharau katika mapenzi

    wewe chalii mapenzi sio suala kuu hapa ila kinachoonekana, ni kwamba mchaga sio mtu wa kuweka ndani kama mke na mapenzi ndo sehemu ambayo wengi wamekutana na hao watu wa moshi na mimi mwenyewe, unamuoa unadhani ni mke kumbe ana programme zake. umewahi kujiuliza kwa nini wa mama wengi wa kichaga...
  11. E

    Wachaga tusiwadharau katika mapenzi

    aiseee mi bora nioe mtu ambaye naona kabisa ni malaya kuliko mchaga anayetoka mlangoni mwa kanisa amebeba biblia na kitabu kitakatifu cha nyimbo huku akifikiria kama atapata hela kwa namna yeyote ile
  12. E

    Wachaga tusiwadharau katika mapenzi

    kaka hongera kama umeweza kuishi naye vizuri, kwa kifupi sio wote ila wengi wao ni wakorofi,hawapendi kushindwa wanatamani kilichopo ndani ya nyumba mgawane au muandikishe kwa jina lake, hawajui kulea wanaume. nimeishi naye kama rafiki, tukaingia mapenzi nikaona kama jehanamu nikasepa nikisikia...
  13. E

    Nitajie sifa 5 za msichana kuwa mke

    alafu wewe huwa unachangia pumba tu eeee!
  14. E

    Mabinti hembu kuweni wakweli kuhusu watoto! !

    mleta mada hana tatizo lolote japo manamwita mmbea, ana maneno, n.k, niseme hv, kama mngejua ni namna gani hili swala la kutosema ukweli kuhusu mtoto ni wa mwanaume yupi kwa wadada ni tatizo kubwa hasa kwa watu makini ambao hawapendi usumbufu usio wa maana mngemuunga mkono, lakini ukiona...
  15. E

    Habari mbaya kwa 2nd year wa udsm-COET.

    Acha fikra fupi, unoko hakuna wewe ndo mnoko, nature ya uhandisi ndo hvyo ukikaa vibaya unaliwa kichwa, sio kusoma history au kiswahili unategemea mambo smooth, nenda college yoyote iliyo serious alafu kama failure hakuna, anzia cive-udom,coet,dit. Ndo utajua sio unoko
  16. E

    Hii ndo top ten ya vyuo vya kata bongo,vijue kabisa usije ukadanganyika kuvichagua kwa wadogo zangi

    Yaani wewe hata ku comment thread yako hatukutakiwa ila ni uungwana tu wa kukushauri, ebu jifunze kufikiria, huna sourses wala surpoting material ya kukomaza point yako ya kijinga na uchunguzi hujafanya na hata ungefanya uchunguzi hii sio title ya project au research yako ikiwa ungekuwa msomi...
  17. E

    Hoja kuwa wanawake wa kichaga wazuri kisura mapenzi ni sifuri - Napingana nayo!

    kama mnaona mapenzi sio habari ya muhimu mkae mbali na wanaume wanaotaka mapenzi au muolewe na wachaga wenzenu na sio kuanza kusumbua watu vichwa vyetu. mnanikera sana
  18. E

    Hoja kuwa wanawake wa kichaga wazuri kisura mapenzi ni sifuri - Napingana nayo!

    wewe unabisha sisi tumefanya research, bora wangezaliwa wanaume tu uchagani
Back
Top Bottom