Umetoa ushauri mzuri sana,ila kitu kimoja mwambie kama amekuwa kibonge ndio sababu kwa kuwa mume wake bidhaa imekuwa fupi haifiki pale pa mwanzo......so awe mwembamba az wadada wengine walio kwenye diet ili wafike kirahisi.......then asisahau mnene hana mvuto.
Yaan badala ya kusetle mambo yakae relini kuhusu amani yetu,wao wako bzy na safari za oman na ulaya.......yaaani hawa jamaa hawajali kabisa what's goin on
Aisee kweli ndoa nyingi sana zinabomoka coz of wanaume wanashindwa kupiga game effectively,yaani wanawake kuridhika imekuwa kitendawili......ila wanaume wa mjini ndio wanamatatizo hayo sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.