Search results

  1. M

    Ufisadi wa kutisha Halmashauri ya Sumbawanga Vijijini

    Kweli hii nchi haitabaki salama.Leo madiwani wa CCM Sumbawanga Vijijini wamewekwa kitimoto ili kesho wasiweze kuibua sakata la wizi wa pesa zaidi ya million 260 zilizochotwa na Mkurugenzi akishirikiana na mbunge Malocha. Pesa hizo zimechotwa ndani ya mwezi mmoja. Uongozi wa CCM wilaya unahaha...
  2. M

    Nimejiaandaa vyema kumtoa Malocha Jimbo la Kwela.

    Ndugu WanaKwela wote na wapenda maendeleo wa Rukwa na Jimbo la Kwela naombeni sapoti yenu ilikufanikisha azma yangu ya kumuondoa Malocha kwani ni kikwazo kwa maendeleo ya jimbo la kwela. Kuna mambo amekuwa akiyaendekeza kama, kuwalinda watendaji wa kata wezi...amabao wanavitabu feki vya...
Back
Top Bottom