Search results

  1. P

    Balozi Hamis Kagasheki, familia yake na siasa za CCM Bukoba mjini!

    Acheni wote wagombee ccm bukoba mjini, hata wake zao kwa sababu ndugu yao sasa hivi ana uhakika wa vitalu vya uwindaji, na wateja anao si amekaa sana majuu!!! Baada ya hapo sisi yetu macho na masikio 2015.
  2. P

    Balozi Hamis Kagasheki, familia yake na siasa za CCM Bukoba mjini!

    Balozi Kagasheki ni mbunge wa Bukoba mjini. Abubakari Kagasheki ni mwenyekiti wa Umoja wa Wazazi wa Wilaya ya Bukoba Mjini, jumuiya iliyoko chini ya CCM. Abdul Kagasheki anagombea awe Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa kutokea Bukoba Mjini. Suedi Kagasheki anagombea awe mjumbe wa kuwakilisha...
Back
Top Bottom