Search results

  1. Mtembezi Kichomi

    Swali fikirishi: Je, wanaume hatukosei ama tumehalalishiwa kukosea?

    Labda ni upofu wangu wa fikra, nadhani kila kona nikitizama anasemwa mwanamke? Mwanamke wangu msaliti, NAJUTA. Mwanamke wangu mshirikina, NAJUTA. Mwanamke wangu mvivu, NAJUTA. Mwanamke wangu mwizi, NAJUTA. Mwanamke wangu mzinzi, NAJUTA. Mwanamke wangu ana roho mbaya, NAJUTA. Mwanamke wangu...
  2. Mtembezi Kichomi

    Shida zipi zimekukuza?

    Katika kipindi Cha maisha na umri kuongezeka, umekuwa tukipitia changamoto mbalimbali za kiuchumi, kijamii, kimahusiano n.k Japo Ni ngumu kuzimaliza changamoto zote, lakini Ni wazi kwamba Kuna fahari kubwa na raha unaposhinda moja ya changamoto katika maisha na kupata ahueni kiuchumi, kijamii...
Back
Top Bottom