Sisi wakazi wa kata ya Kwakilosa iliyopo katika manispaa ya Iringa hatumtaki huyu mtendaji wa kata aitwaye Upendo Msafiri Amulike na tumeshaleta malalamiko yetu kwa ofisi ya mkurugenzi manispaa Iringa lakini ndugu Ahmed Njovu halitendei kazi. Hapa katikati wamehamishwa watendaji wengi wa kata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.