Mtendaji wa kata ya Kwakilosa Iringa Bi. Upendo Msafiri Amulike ajigamba hakuna wa kumtoa kata ya Kwakilosa

Apr 10, 2019
32
95
Sisi wakazi wa kata ya Kwakilosa iliyopo katika manispaa ya Iringa hatumtaki huyu mtendaji wa kata aitwaye Upendo Msafiri Amulike na tumeshaleta malalamiko yetu kwa ofisi ya mkurugenzi manispaa Iringa lakini ndugu Ahmed Njovu halitendei kazi. Hapa katikati wamehamishwa watendaji wengi wa kata lakini yeye hakuhamishwa na anatutambia kuwa hakuna wa kumwamisha maana wakubwa hapa manispaa Iringa wanamlinda na tabia zake wote wanazijuwa hapa manispaa Iringa.

Tunaomba serikali imchunguze maana kuna ubadhilifu wa fedha sana za kata, kuna wakati ziliibiwa pesa za uchaguzi ni yeye ametumia, amenunua viwanja sehemu mbalimbali na bodaboda nyingi hapa mjini anamiliki kama hamuamini fuatilieni miamala yake ya benki. Ni mtendaji ambaye anamiliki mali nyingi kuliko watendaji wengine.

Tunaomba Rais wetu mama yetu mama Samia Suluhu Hassan ingilia kati hili jambo. Huyu mtendaji wa kata Upendo Msafiri Amulike anatuumiza kwa faini ambazo si haki. HATUMTAKI HUYU MTENDAJI MTUTOLEE KWENYE HII KATA
 
Kabugula

JF-Expert Member
May 25, 2021
1,716
2,000
Sisi wakazi wa kata ya Kwakilosa iliyopo katika manispaa ya Iringa hatumtaki huyu mtendaji wa kata aitwaye Upendo Msafiri Amulike na tumeshaleta malalamiko yetu kwa ofisi ya mkurugenzi manispaa Iringa lakini ndugu Ahmed Njovu halitendei kazi. Hapa katikati wamehamishwa watendaji wengi wa kata lakini yeye hakuhamishwa na anatutambia kuwa hakuna wa kumwamisha maana
Huyo Rais atashughulika na wangapi.
Si diwani yupo,mkuu wa wilaya,Takukuru,DSO.
Rais mambo ya mtendaji kata?
Hebu muone hata katibu tarafa
 
KOLOKOLONI

JF-Expert Member
Mar 7, 2014
2,001
2,000
Sisi wakazi wa kata ya Kwakilosa iliyopo katika manispaa ya Iringa hatumtaki huyu mtendaji wa kata aitwaye Upendo Msafiri Amulike na tumeshaleta malalamiko yetu kwa ofisi ya mkurugenzi manispaa Iringa lakini ndugu Ahmed Njovu halitendei kazi. Hapa katikati
Aliyekuambia Mtendaji anatakiwa kuwa Maskini ni nani? Yaani mtu anajinyima anafanya Maendeleo ili awe tajiri mnaweka Majungu. Kibaya zaidi huna hata hoja ya maana kwanini aondolewe unabwabwaja tu. Bodaboda 1.5Mln kitu alivuna maharage yake zile ekari kumi ananua tano. wewe unaishi unategemea kupiga muhuri kwenye Fomu za ajira za watu na fomu za Dhamana halafu utakuwaje tajiri.Nyambaf tafuta pesa acha majungu
 
Apr 10, 2019
32
95
Kama ni hawara yako tulia.wananchi tunataka uchunguzi ufanyike acha porojo.

Fika kata ya Kwakilosa uliza wananchi utaupata ukweli.wewe kama ni mnufaika tulia sio uwashwe washwe .tunataka uchu nguzi.

Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
 
Apr 10, 2019
32
95
Kama unataka kujua tabia za huyu mtendaji uliza hata majirani zake utaupata ukweli.Nafasi yake ni kaa la moto kwa wananchi.
Majivuno,dharau ubinafsi ,ndio nguzo yake.unaetaka kumjua we nenda ofisini kwake.

Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
 
Sampdoria

Senior Member
Aug 4, 2019
162
500
Wewe ulimtongoza amekukataa kbsa

Acha ujinga wakitoto...Mkurugenzi wamaspaa Bwana njovu afanyi kazi kwa majungu

Unasema humtaki .....nenda kwa Mkurugenzi wake ukamuonyeshe nchi ya kumpeleka

Yeye Mtendaji ni Mtanzania na atakaa hapo na atatoka

Madame Jesca Mh mbunge anamkubali sana Mtendaji kwa namna anavyotekeleza majukumu yake vema

Acha udada usio kuwa na Tija kama umemtongoza amekataa nisawa sawa
 
Tunataka uchunguzi,ukihitaji tutamwaga mpaka nyaraka za baadhi ya mambo.
Acha uchawa mbona kama umewashwa na unataka kumsafisha.hatutaki aonewe tunataka uchunguzi.

Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
 
Apr 10, 2019
32
95
Wewe ulimtongoza amekukataa kbsa

Acha ujinga wakitoto...Mkurugenzi wamaspaa Bwana njovu afanyi kazi kwa majungu

Unasema humtaki .....nenda kwa Mkurugenzi wake ukamuonyeshe nchi ya kumpeleka

Yeye Mtendaji ni Mtanzania na atakaa hapo na atatoka

Madame Jesca Mh mbunge anamkubali sana Mtendaji kwa namna anavyotekeleza majukumu yake vema

Acha udada usio kuwa na Tija kama umemtongoza amekataa nisawa sawa
Halafu kaa ukijua huyo siyo mtendaji wa jesca,kwa jesca kumkubali siyo kipimo cha utendaji wake.muulize kwa nini Mara nyingi yeye na watendaji wake wa mtaa haziivi?

Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
 
tang'ana

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
10,689
2,000
Issue ni hizo boda boda na viwanja anavyomiliki au issue kubwa hapa ni nin?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom