Naomba mnisaidie ndugu zangu. Tatizo langu ni kuwa kila ninapokuwa nina hamu ya sex badala ya ute vinatoka vitu kama ute uliochanganyika na damu yaan kama period inataka kuanza... Napata shida sana kwan nashindwa kujua nn tatizo
Nahitaji msaada wenu tafadhali
Jamani wadau nahitaji msaada wenu.
Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu course ya Tax management. Nahitaji kazi ya aina yoyote hata ya usafi wa maofisini nitafanya mana maisha ya mtaani jamani yanachosha.
Pls wadau nisaidieni
Me niko Dar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.