Unaweza ukawa na haki na kweli. Lakini kwa hali iliyopo ambapo CCM/serikali inatafuta upenyo wa kuiua chadema, usingelifanya hivyo. Umewapamaadui wa chadema mahali pa kuania. Unadhani covid 19...
Inawezekana sina hilo gari lenye hadhi ya kuwekea private registration plate, au labda sina gari kabisa.
Lakini kiukweli nikipishana na gari njiani lina plate namba imeandikwa jina la mtu, uwa...
Zingatia kwamba, unayemfanyia haya si mume wa mtu, kwani anaweza akatelekeza familia yake na kukufuata wewe.
Hii ni kwa mwanamke ambaye yupo kwenye mahusiano na mwanaume. Katika mahusiano yenu...
Habari za muda huu JF members and staff members nina changamoto hii naomba kuelekezwa jinsi ya kutumia hii PM(private message) mana kila mara nikijaribu kutumia huwa inafikia stage hii hapa katika...
Lengo la timu huwa ni kushinda bila kujali nani kashinda,lakini kila mchezaji ana role yake uwanjani,timu huwa zinasajili striker namaanisha namba 9 kwa ajili ya kufunga,kwamara ya pili ligi yetu...
Bibie Claudia Sheinbaum anatarajia kishinda Uchaguzi wa Mexico baada ya matokeoa ya Uchaguzi kuonesha akiongiza Kwa asilimia 60% Dhidi ya Mpinzani wake Mwanaume.
Huyu atakuwa ni Rais wa Kwanza...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Amosi Makalla amemshauri aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa ambaye pia ni Mbunge wa zamani wa Jimbo la Iringa Mjini mchungaji Peter Msigwa...
Niliongea hapa na watu mkaleta Njaa zenu coz watanzania wengi tunatamaa sana na tunawaza hela sana..na ndio maana hata viongozi vijana nao wamejaa Rushwa because wanawaza pesa tu wakipata nafasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.