Hussein Abdala maarufu Mauzinde (30), mkazi wa Rahaleo Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar alitekwa na watu wasiyojulikana, wakamshambulia kwa kumkata masikio yote mawili, wakamfunga bandeji na...
Kipindi wimbi la wapinzani kuunga mkono juhudi,ilikuwa ni project moja ya kushangaza sana,
Kulikuwa na dalili zote za wapinzani kununuliwa,unaitwa Ikulu unasomewa dhambi zako za kukwepa kodi TRA...
Hayo ni maoni ya jaji mstaafu.
Jaji anasema kwenye uwekezaji kuna mambo ya ajabu yanaendelea na watu wenye akili wameamua kukaa kimya tu.
Jaji anasema rasilimali sasa zinagawiwa kwa mikataba...
Nimeenda kumsalimia mshikaji wangu kajenga nje ya mji kidogo, tulikua kama watatu, tulipofika story zikaendelea jamaa tukawa tunamsifia katengeneza garden amazing, akaenda kukata miwa tutafune...
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa aliyemaliza muda wake na kushindwa katika Uchaguzi uliompa ushindwa Joseph Mbilinyi (Sugu), Mchungaji Peter Msigwa amekata rufaa kupinga Uchaguzi huo akidai...
Maambukizi ya VVU miongoni mwa wasichana wenye umri wa miaka 15-24 yameongezeka kwa kiwango cha kutisha, kwa mujibu wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (Tacaids).
Kulingana na takwimu...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Nauliza ni lini wanafunzi kutoka chuo cha mtakatifu Augustine Tanzania SAUT watasaini hela zao za kujikimu awamu ya nne angali wenzao kutoka vyuo vingine washasaini pia huu ucheleweshaji kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.