Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu anaendelea na ziara zake huko vijijini, kwa lengo la kuelimisha Wananchi kuhusu masuala mbalimbali.
Leo ilikuwa kijiji cha Ibaga ambako wananchi...
Inasemekana, magereza ya Tanzania ni tofauti sana na ya Ulaya na nchi zingine "zilizostaarabika". Mfungwa wa Ulaya hukoseshwa uhuru tu wakati wa Tanzania hunyimwa karibia kila kitu: uhuru na...
Ndugu zangu Watanzania,
Napowaambia kuwa David Kafulila ni Chuma nakuwa namaanisha ni CHuma kwelikweli na Mzalendo wa dhati Wa Taifa letu,ambaye huwa hayumbi wala kuyumbishwa wala kutetereshwa...
Mr Nice
Bwana mmoja mwenye shamba alipanda viazi
akachimbachimba akapata almasi
hii ni bahati kwa mtu mwenye shamba*2
akatupa jembe lile akaenda mjini
kanunua moto car,sasa ni gariii...
Nilivyoangalia mchezo baina ya Azam na Yanga kwenye fainali za CRDB, ni wazi kuwa bila ya kuwa golikipa Mohammed Mustafa, Azam ingekuwa na wakati mgumu sana. Kwa vile Azam inaingia kwenye...
Nimeenda kumsalimia mshikaji wangu kajenga nje ya mji kidogo, tulikua kama watatu, tulipofika story zikaendelea jamaa tukawa tunamsifia katengeneza garden amazing, akaenda kukata miwa tutafune...
Nimeona maandiko mengi huku mitandaoni yakijaribu kuonyesha kuna uadui au kambi mbili kubwa zinazokinzana kati ya Mbowe na Lissu. Hizi propaganda zimefika mbali kiasi kwamba sasa hata chaguzi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.