Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wanabodi, Hili ni bandiko la Swali, Gazeti la The New York Times, la Marekani, ambalo ni la tatu duniani kwa ukubwa, lasambaza uongo kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, ladai haukuwa huru na wa...
12 Reactions
327 Replies
22K Views
Habari za muda huu JF members and staff members nina changamoto hii naomba kuelekezwa jinsi ya kutumia hii PM(private message) mana kila mara nikijaribu kutumia huwa inafikia stage hii hapa katika...
1 Reactions
48 Replies
383 Views
Maambukizi ya VVU miongoni mwa wasichana wenye umri wa miaka 15-24 yameongezeka kwa kiwango cha kutisha, kwa mujibu wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (Tacaids). Kulingana na takwimu...
5 Reactions
26 Replies
479 Views
Waweza kumlazimisha mtu kula bila hiari, waweza kumlazimisha mtu akusalimie, n.k. lakini hutaweza kumlazimisha mtu imani yake. Kuna watu huamini katika vidole vyao kwamba vinawapa rizki, wao...
5 Reactions
72 Replies
702 Views
Habari zenu. Maisha ni yamenizonga sana nataka kuanza kunywa pombe angalau nipoteze kuwaza sana. Ni kinywaji gani hakina alcohol kubwa lakini kinatuliza mawazo? Nawaza sana maisha mpaka nakonda...
6 Reactions
67 Replies
933 Views
Hizi majuzi Papa Francis amelazimika kuomba radhi hadharani baada ya taarifa kuvuja kwamba kwenye kikao cha hivi karibuni na makadinali 250 wa Italia, Papa alitukana mashoga. Kwenye kikao hicho...
0 Reactions
2 Replies
18 Views
Ndugu zangu Watanzania, Napowaambia kuwa David Kafulila ni CHuma nakuwa namaanisha ni CHuma kwelikweli na Mzalendo wa dhati Wa Taifa letu,ambaye huwa hayumbi wala kuyumbishwa wala kutetereshwa...
8 Reactions
22 Replies
212 Views
DAR ES SALAAM MWIGIZAJI nyota wa kike, Elizabeth Michael ‘Lulu’ sasa atatumikia kifungo cha nje katika kesi yake ya kukuua bila kukusudia baada ya kubadilishiwa kifungo. Novemba 13, mwaka 2012...
6 Reactions
118 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,859,873
Posts
49,787,833
Back
Top Bottom