Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Imekuwa ni jambo la kawaida sana Kwa shirika la utangazaji la TBC, kukata matangazo mbashara ya Bunge na kutuletea matangazo mengine. Kwa mfano hivi leo, weshakata mara mbili, matangazo mbashara...
2 Reactions
14 Replies
114 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa kutoka Chuo Kikuu cha Anga cha Korea (KAU) leo tarehe 03 Juni, 2024...
5 Reactions
93 Replies
970 Views
Baba yangu mdogo Jana aliniita na kunieleza jinsi anavyoumia kwa kile mdogo wetu amekifanya kwa kutuleteaa mwanaume wa kislamu amuoe wakati sisi ni wakristo. Mzee anasema hivi wanaume wameisha...
18 Reactions
120 Replies
2K Views
Wadau naombeni ushauri he njegere zinafaa Kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo Kwa wanaojua msaada
2 Reactions
34 Replies
331 Views
Mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa Mchungaji Msigwa ataongea na Waandishi wa habari Leo saa 5 00 asubuhi nyumbani kwake Kihesa - Iringa Yajayo yanafurahisha na tutawajuza kutokea hapa...
4 Reactions
23 Replies
482 Views
Habari wana jamii forums [emoji1366] Let’s chat for fun boys and girls ukiulizwa muda mda huu body count yako inasoma ngapi utakuwa na kumbukumbu boys au girls wangapi umelala nao mpka sasa? For...
11 Reactions
96 Replies
2K Views
Nikiri katika màisha yangu Tangu nimeanza kushabikia soka hili ni tukio la Kwanza kwangu mchezaji kususia makusudi kuvalishwa medali bila sababu ya msingi. Huwa nawaona Wachezaji majeruhi nao...
8 Reactions
53 Replies
1K Views
Naendelea kuwakumbusha kazi nzuri na ya kutukuka inayofanywa na Serikali ya awamu ya 6 Chini ya Mama wa Vitendo Rais Dr Samia. Serikali ya mama imekamilisha ujenzi wa viwanja kadhaa vya ndege...
7 Reactions
168 Replies
9K Views
Ukosefu wa uwazi, ugumu wa kupata taarifa sahihi kuhusu malipo, imekuwa changamoto kubwa kwa wanufaika wa TASAF. Miradi ya TASAF kila sehemu inapaswa kuwafikia walengwa ambao ni Wazee na Wanawake...
1 Reactions
3 Replies
10 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,720
Posts
49,784,439
Back
Top Bottom