Akiongea na Waandishi wa Habari leo, Peter Msigwa amesema kwamba Ushindi wa Sugu ulijaa makando kando na Mchezo Mchafu (Hakufafanua)
Ametangaza kukata rufaa kwenye Kamati Kuu ya Chama chake...
Habari wa kuu nimeona capital ya hii biashara ya uwakala wa p2p katika binance wanadai ianzie 1000$ .
Ila nina baadhi ya maswali naomba msaada wenu.
1. Vipi risk ya hii biashara?
2. Vipi wateja...
Habari wakuu
Naitwa Shemasi Pascal Weston. Kutoka St. Joseph Dar es salaam
Ni muandishi wa vitabu mbalimbali vya Sheria, Haki za binaadamu, motivation pamoja na kufanya research mbalimbali...
Kaka yangu Tate Mkuu, shida ni nini? Dada zako ni mnyoosho wa suruali kwa kwenda mbele. Sijawahi kuona mrembo wa kisambaa mwenye wowowo. Ni flat screen ileile.
Nimemuacha mmoja mwaka mmoja nyuma...
Kipindi akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Nchi, alikuwa anamiliki timu ya Singida Utd ya pale mkoani Singida. Akajaza wachezaji wa kigeni kibao kama vile Michel Rusheshagonga, Shafik Batambuze...
Mtumishi mwenye Mkataba namba Na. SMC/CW/PF.113/3 amefika Ofisini kwetu na ameomba tupaze sauti kwa niaba yake. Hii hapa historia fupi ya malalamiko yake.
Wakati wa zoezi la uhakiki wa Watumishi...
Mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa Mchungaji Msigwa ataongea na Waandishi wa habari Leo saa 5 00 asubuhi nyumbani kwake Kihesa - Iringa
Yajayo yanafurahisha na tutawajuza kutokea hapa...
MJUMBE HAUWAWI.
Nimepitia comment kwenye hii post.
Wanaume wanamalalamiko mengi sana yenye tiija juu ya hoja hii.
Swali likanijia, je anaweza kufika Moshi na asifike kileleni?
Nikaendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.