Akiongea na Waandishi wa Habari leo, Peter Msigwa amesema kwamba Ushindi wa Sugu ulijaa makando kando na Mchezo Mchafu (Hakufafanua)
Ametangaza kukata rufaa kwenye Kamati Kuu ya Chama chake...
Yanga ya Gamondi ime-dominate kwa 98% kwenye kila takwimu nzuri 23|24 🇹🇿
𝗟𝗶𝗴𝗶 𝗸𝘂𝘂 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 𝗯𝗮𝗿𝗮
◉ Champions - Yanga SC 🏆
◉ Timu yenye kadi chache - Yanga SC
◉ Timu yenye on target nyingi -...
Habari wakuu
Naitwa Shemasi Pascal Weston. Kutoka St. Joseph Dar es salaam
Ni muandishi wa vitabu mbalimbali vya Sheria, Haki za binaadamu, motivation pamoja na kufanya research mbalimbali...
Jaribu kufanyia Utafiti utaelewa Hata Nchi ya jirani ya Zanzibar ni mfano mzuri
Rais akiwa mwislamu basi Vijana wao huwa na fursa ya kuingia madarakani tofauti na Wagalatia
Nadhani huu ni...
Familia ya Mpanda Mlima kutoka Kenya, Joshua Cheruiyot Kirui, ambaye alifariki dunia akipanda Mlima Everest Mei 22, imesema Mwili huo utaachwa alikofia kutokana na gharama na hatari zinazohusishwa...
Welcome to the Real Madrid C.F. Jamii Forums thread. Keep up to date with the latest news & engage with the club and other supporters.
The club formed in 1902.
Stadium: Santiago Bernabéu...
Kaka yangu Tate Mkuu, shida ni nini? Dada zako ni mnyoosho wa suruali kwa kwenda mbele. Sijawahi kuona mrembo wa kisambaa mwenye wowowo. Ni flat screen ileile.
Nimemuacha mmoja mwaka mmoja nyuma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.