Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Baadhi ya waendesha pikipiki Jijini Dar es Salaam wameomba kuambatanishwa kwenye ziara za Rais Samia Suluhu Hassan anazozifanya nje ya nchi kwa lengo la kuboresha utendaji kazi wao. Maombi hayo...
6 Reactions
21 Replies
240 Views
Ndugu Mtanganyika , usimkope ndugu yako hela kwa sababu kuna hatari ya kuharibu uhusiano wenu. Kukopa hela kwa ndugu kunaweza kusababisha migogoro na mvutano, hasa kama kuna tatizo la kulipa deni...
0 Reactions
1 Replies
16 Views
Kulia sio suala la kike, ni suala la kibinadamu, ukiona yamekukuta na waona kabisa kooni unadukuduku na unataka kulia, tafuta mahali ulie. Kulia hakuondoi uanaume, yalio ya wanawake wamepewa...
2 Reactions
17 Replies
182 Views
Mwenye kufahamu naomba anifahamishe hivi kwanini wanasheria mnaitana wakili msomi 🤔 kwani kuna mawakili sio wasomi ?
17 Reactions
141 Replies
2K Views
Uzinzi na uasherati una gharama kubwa mno! MOJA WAPO YA GHARAMA YA UZINZI/UASHERATI! 1. Gharama ya Vyumba vya kufanyia Uzinzi/Uasherati wenu 2. Gharama za vyakula vya watu wawili (Chako nacha...
22 Reactions
41 Replies
1K Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
105 Reactions
221K Replies
17M Views
Hapana shaka afya za wakazi wa Dar es Salaam na Pwani, zipo hatarini. Hii ni kutokana na kuuziwa matunda yanayookotwa katika Dampo hili ambalo wenyeji wa maeneo husika ya Kata ya Vikindu, Mkuranga...
1 Reactions
5 Replies
88 Views
  • Suggestion
Tanzania tuitakayo baada ya miaka mitatu SERIKALI IWAUNGANISHIE WANANCHI UMEME BURE, WAKATWE KWENYE LUKU, KAYA MASIKINI TASAF IWEKE UTARATIBU WA KUWALIPIA Gharama za kuunganishiwa Umeme ni Kubwa...
15 Reactions
78 Replies
2K Views
"jamiiForum stop taking down my posts" Tokenomics is the economics of tokens and their application in a project. By understanding tokenomics you can predict where the best entry and exit points...
1 Reactions
1 Replies
276 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,708
Posts
49,784,053
Back
Top Bottom