Radio ya Kiba na kikeke imekuja na style ya drama kujitangaza.
Nawashauri wawekeze kwenye content ndio kila kitu kwenye media. Leo hii clouds na wasafi zina wasikilizaji wengi sababu zina...
Makampuni ya kubeti yanatuma meseji hadi imeshakuwa kero sasa.
Mtu hata haujajisajili huduma yao yoyote lakini unashangaa unatumiwa mameseji tele ya mfululizo tena kila siku.
Lakini cha...
Baadhi ya waendesha pikipiki Jijini Dar es Salaam wameomba kuambatanishwa kwenye ziara za Rais Samia Suluhu Hassan anazozifanya nje ya nchi kwa lengo la kuboresha utendaji kazi wao.
Maombi hayo...
Ndugu Mtanganyika , usimkope ndugu yako hela kwa sababu kuna hatari ya kuharibu uhusiano wenu. Kukopa hela kwa ndugu kunaweza kusababisha migogoro na mvutano, hasa kama kuna tatizo la kulipa deni...
Kulia sio suala la kike, ni suala la kibinadamu, ukiona yamekukuta na waona kabisa kooni unadukuduku na unataka kulia, tafuta mahali ulie.
Kulia hakuondoi uanaume, yalio ya wanawake wamepewa...
Uzinzi na uasherati una gharama kubwa mno!
MOJA WAPO YA GHARAMA YA UZINZI/UASHERATI!
1. Gharama ya Vyumba vya kufanyia Uzinzi/Uasherati wenu
2. Gharama za vyakula vya watu wawili (Chako nacha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.